Hao jamaa zako wamegoma kabisa kukueleza?Naombeni msaada namna ya kukopa kwa kutumia app iliyo kwenye simu ya Aquas zero?
Jamaa zangu wawili wamevuta mpunga na mwingine katumia Samsung, maana hiyo app iko installed na simu direct kutoka kwenye firm
Hao jamaa zake wawili naona hawana ushirikiano.Hao jamaa zako wamegoma kabisa kukueleza?