Nakodisha mashamba mkoa wa Rukwa

Nakodisha mashamba mkoa wa Rukwa

50,000 kwa ekar yanafaa kwa mahindi, maharage alizet na viaz vitamu unyevu upo wa kutosha ila pembezon kuna mto pia karibu
 
50,000 kwa ekar yanafaa kwa mahindi, maharage alizet na viaz vitamu unyevu upo wa kutosha ila pembezon kuna mto pia karibu
Vipi kuhusu vitunguu maji huwa vinakubali.
 
Ndiyo vinakubal huduma ya maj ipo kuna zamu ya umwagiliaj ukifka msimu na ni bure
 
Back
Top Bottom