Nakodisha mashamba kwa ajili ya kilimo.

Nakodisha mashamba kwa ajili ya kilimo.

Joined
Feb 11, 2019
Posts
32
Reaction score
40
Shamba lipo kigamboni mwasonga zimebaki heka 5 zinazotumika kwa kilimo, maji yapo, ulinzi upo. Mazao yanayoweza kustawi ni jamii yote ya mikunde, mbogamboga, mahindi, matikiti, pilipili zote. Heka moja 100,000/= kwa muda wa miezi mitatu. Kwa mawasiliano 0752363857 karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maji yapo ya kutosha?ni ya mto au kisima? vp kuhusu wanyama km ngedere wapo?
 
Back
Top Bottom