Nakodisha Gari aina ya Noah

Nakodisha Gari aina ya Noah

E.A.MWAKYUSA

Member
Joined
Nov 7, 2014
Posts
65
Reaction score
4
Haya sasa mwisho wa mwaka huu acha kuteseka wala kuwaza kupandishiwa nauli juu kwenda kwenu kula sikukuu au shughuli zozote zile nakodishwa kwa makubaliano tutayofikia. Karibuni sana. 0784791233.
 
shingapi kwenda nalo na kukaa nalo mgombani kwa mwezi mmoja
 
Pia hata kama una sherehe naikodisha karibuni
 

Attachments

  • 1418533555072.jpg
    1418533555072.jpg
    69.1 KB · Views: 197
Ninayo Noah old model, anayehitaji kukodi kwa mizunguko au kubebea bidhaa hapa DSM; kwa siku 50,000 Dereva wangu, mwisho SAA 1 jioni. Ikiwa safari ni ya nje ya DSM, tunaongea
Nitafute 0687072066
 
Back
Top Bottom