J josh2724 Member Joined Jan 8, 2015 Posts 9 Reaction score 4 May 5, 2017 Thread starter #21 HAMY-D said: Tshs. 40,000 vipi? Nahitaji kuanzia Ijumaa na jumamosi tu. Cash in hand! Click to expand... Nitumie namba yako
HAMY-D said: Tshs. 40,000 vipi? Nahitaji kuanzia Ijumaa na jumamosi tu. Cash in hand! Click to expand... Nitumie namba yako
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,596 Reaction score 81,585 May 5, 2017 #22 Mkuu unakodisha kwa Tshs 70 tu kwa siku? Nadhani naweza kulikodi kwa mwaka mzima japo sina ajira.
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,212 Reaction score 166,214 May 5, 2017 #23 mchakachuaji192 said: Mzee hakuna gari inayoitwa hivyo labda yako kama ni special order with your own specifications! As far as i know outlander na airtrek ni products zinazojitegemea, tutumie picha ya hiyo gari yako kuthibitisha maneno yako... Click to expand... Acha hizo, nunua Gari uitakayo, iite vyovyote utakavyo, hata ukaiita Bugatti Maruti poa tu
mchakachuaji192 said: Mzee hakuna gari inayoitwa hivyo labda yako kama ni special order with your own specifications! As far as i know outlander na airtrek ni products zinazojitegemea, tutumie picha ya hiyo gari yako kuthibitisha maneno yako... Click to expand... Acha hizo, nunua Gari uitakayo, iite vyovyote utakavyo, hata ukaiita Bugatti Maruti poa tu