Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,294
- 28,551
- Thread starter
- #21
I
Napokea mawazo mbadala pia panafaa sana pia kwa biashara ya bakery maana ni pakubwa na gari zitaweza kuingia mpaka ndani na kubeba mikate Thanks alotsIlala haijakaa vizuri sana kwa bar....watu wa kule wanapenda urojooo