Nakodisha baa kwa anayehitaji

Nakodisha baa kwa anayehitaji

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,294
Reaction score
28,551
Ipo eneo zuri sana ndani ya Ilala mwenye kuhitaji tuwasiliane inbox
 
Wewe imekushinda na ni ya kwako sembuse atakayeikodi? Apate pesa ya kukulipa weye na apate faida yeke....
Siyo rahisi....
Atakayeikodi atakuwa anakufanyia kazi wewe tuuuu......
As human tunatofautiana sana na tuna vipaji tofauti tofauti sana jambo fulani linaweza kumshinda yule wewe ukaliweza au vice versa na sio kila jambo litanishinda and then limshinde kila mtu not that mungu amegawa karama tofauti sana kwa kila binadamu ukulijua hili utaishi kwa raha sana na hutakuwa na wivu
 
Sema bei kwa mwezi nikuletee mtu
unanipa kodi ya mwezi mmoja
 
Nafikiri ni sahihi kuapproach ishu kwa tahadhari ila kufika eneo la tukio ni dawa.
Unapofika pahala mwili wako huteta na nafsi yako juu ya kila jambo kama namudu au simudu
 
Toa maelezo yakutosha ikiwemo location na shilling ngapi kwa siku
 
laki 5 tu
mara ya mwisho tumekodi baa tabata aroma kwa 400k na biashara ilikuwa mbaya sana. gross profit mpaka 15k per day.

mimi kama ex manager kwa kweli hio kodi sitaweza kumwambia boss wangu akanielewa.

nimesimamia bar kwa ufanisi mkubwa sana lakini wapii.. no profit
 
mara ya mwisho tumekodi baa tabata aroma kwa 400k na biashara ilikuwa mbaya sana. gross profit mpaka 15k per day.

kwa kweli hio kodi sitaweza kumwambia boss wangu akanielewa
350k kwa miezi 6 udalali unakula kwa bosi apo vipi?
 
😅😅😅😅udalali kwa boss hapana, Boss atanipa kazi ya moja kwa moja kuwa manager

chukua 300 per month tuone kama tunaweza!

vipi lakini hakujawahi kuwa na mtu mwingine hapo kabla?

350k kwa miezi 6 udalali unakula kwa bosi apo vipi
 
😅😅😅😅udalali kwa boss hapana, Boss atanipa kazi ya moja kwa moja kuwa manager

chukua 300 per month tuone kama tunaweza!

vipi lakini hakujawahi kuwa na mtu mwingine hapo kabla?
pamewahi kuendeshwa na mabosi mbali lakini katika utendaji wa low profile unajua biashara ya pombe ni kazi ya mtu ambaye ni CHARMING ANAYEJUA HITAJI GANI HALISI LINATAKIWA KWA WAKATI HUSIKA mf mabint warembo wa rika gani and etc
 
Ilala haijakaa vizuri sana kwa bar....watu wa kule wanapenda urojooo
 
Back
Top Bottom