Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,795
- 4,849
Tatizo ni CCM.Rais wetu hayupo serious na lolote tatizo linaanzia hapo.
Andiko hili limfikie mkuu Pascal Mayalla kwenye shajara.Sijawahi kupiga ramli wala si mtabiri ila kwa yanayoendelea nchini na kwa manung'uniko ya wananchi kila mahala ,si ajabu hiki chama kiko mbioni kuvifuata vyama vyenzake vya ukombozi huko mahala pema.
Watanzania wa sasa wamebadirika mno, nadhani zamani kidogo ilikuwa tofauti ila sasa kila mmoja anatambua nini anataka kuona kutoka kwa watawala.
Hata kama hakuna chama kinacho promise future yetu ila kwenye mijadara so many people are calling to take back control of their country ,hii imenishtua kwani issue si chama kipi kituongoze na mbaya zaidi bunge linaonekana kusimama na wezi ,no body to turn to . Kwa mantiki hiyo hii inaweza kuwa mwanzo wa safari ya CCM kuvifuata vile vyama vyenzake maana kama ni magamba yashavuliwa bada sasa kijichune nyama.
May be sayansi kwenye mambo mengine ila kwenye wizi ndo wananchi wanegundua janja .sina uhakika kama research unit yao bado inafanya kazi , mi niko field mlioko Lumumba hamuwezi kujua watu wana hasira kiasi gani , there is no miracle or science on thefty that has instant result on wananchi.Labda uwe unaota au ni utani lakini CCM ipo sana na itakuwepo sana. Uzuri wa CCM haifanyi siasa za matukio au za kupita kama upepo ila ni siasa za kisayansi mno
Wizi, uporaji na unyang'anyi vimetamalaki..Sijawahi kupiga ramli wala si mtabiri ila kwa yanayoendelea nchini na kwa manung'uniko ya wananchi kila mahala ,si ajabu hiki chama kiko mbioni kuvifuata vyama vyenzake vya ukombozi huko mahala pema.
Watanzania wa sasa wamebadirika mno, nadhani zamani kidogo ilikuwa tofauti ila sasa kila mmoja anatambua nini anataka kuona kutoka kwa watawala.
Hata kama hakuna chama kinacho promise future yetu ila kwenye mijadara so many people are calling to take back control of their country ,hii imenishtua kwani issue si chama kipi kituongoze na mbaya zaidi bunge linaonekana kusimama na wezi ,no body to turn to . Kwa mantiki hiyo hii inaweza kuwa mwanzo wa safari ya CCM kuvifuata vile vyama vyenzake maana kama ni magamba yashavuliwa bada sasa kijichune nyama.
I am so happy just watu wanavyokuwa nyuki kulinda mali za nchi.Wizi, uporaji na unyang'anyi umetamalaki..
Hii video kuhusu V8 ya Serikali inasikitisha sana
Huku raia sisi tukiendela kuimba ngonjera za kusikitika kwenye mitandao ya kijamiii, hawa watawala wao wanazidi kufanya yale wanauo penda, hakuna kitakacho badilika, hata katiba mpya haitabadili huu uhuni wa watawala, hawa viongozi kuanzia top hadi chini wanajuana hawa ni wana syndicate ya...www.jamiiforums.com
Endeleeni kuiba huu uzi utawaprove wrong na si mbaliHili ni ndoto ya mchana
hilo nalo mkaliangalie 😃Rais wetu hayupo serious na lolote tatizo linaanzia hapo.
acheni visingizio onyesheni maajabu ya awamu ya sita kwa kufuta matokeo ya awamu ya tano kwani mnashindwa nini?mbona kila kukicha mwatafuta mchawimatokeo ya awamu ya TANO