Nakiona kifo cha makampuni binafsi ya ulinzi

Nakiona kifo cha makampuni binafsi ya ulinzi

This is my dream mkuu,kwny kajumba kangu ctaki ka mlinzi wala mfungua geti,halafu bila kusahau ze dogy,ze electric fence,ze motion detection light then namalizia na mkwaju a.k.a ze bunduki!Utantaka!!
Mtanzania anaishi kwa wasiwasi kweli.
Nyumba nzuri madirisha anayaharibu kwa kuweka ma grill na milango anaiziba kwa kuongeza mlango wa grill mbele.
Kama haitoshi, anazungusha na ukuta mrefu kweli, anaona haitosha anafunga na electric wire juu ya ukuta, anaona hii bado kabisa anafunga na cctv cameras na alarm system, anaona bado anaongeza na mlinzi anaona na bado kabisa anaweka na mbwa mkali.
Lakini bado hajiamini ananunua na bunduki yake binafsi.
Ajabu anakuja kufa kwa malaria toka kwa kiumbe mdogo sana aina ya mbu.
Tokomeza malaria kwa kulala kwenye vyandarua vyenye dawa. Ilinde familia yako dhidi ya malaria.
Tangazo hili limeletwa kwenu kwa msaada wa watu wa kolomije
 
Makampuni ya ulinzi ya wazawa mengi yana mikono ya vigogo, utendaji hakuna wa kumfunga paka kengele. Kuweka makampuni ya nje ni kudumaza ajira kwa wazawa, na siku kujikuta nchi imejaa mamluki. Ni wajibu wa serikali kuweka miongozo imara kwa makampuni ya wazawa.
 
Kampuni za ulinzi za hapa kwetu zina ajili wamalawi kama walinzi. Kwa mshahara wa chini ya 135,000 kwa mwezi. Acha zife
 
kwa nini tujitahidi kupunguza wezi mtaani? naamini wezi wakiwa hawapo hata ulinzi hautakuwa wa kutilia maanani sana vijana tufanye kazi halali tuache wizi
 
Back
Top Bottom