Nakerwa sana na ujinga wa Watanzania

Nakerwa sana na ujinga wa Watanzania

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
17,018
Reaction score
20,489
Tujapopita katika bonde la uvuli wa mauti hatutaogopa mabaya kwakuwa gongo lako na fimbo yako vitatuongoza,

Njia ni pana iendayo upotevuni na wanaoiona ni wengi bali njia iendayo uzimani ni nyembamba
na waipitao ni wachache.

Wakati wewe unasema methali za kidunia "wengi wape", Mungu anasema "wateule ni wachache".

Nawachukia watz kwa ujinga wao katika jamhuri yao ya muungano wa wajinga!

Kamwe sitachoka kuwafunulia yaliyofichwa ambayo jicho halijapata kuyaona wala sikio halijapata kusikia.

Enyi watu wa jamhuri ya muungano wa wajinga, nanikawaloga?

Ninaposema taifa la wajinga nina maana pana zaidi.
Serikali ya ccm inawabaka mpaka kuwadhalilisha lakini watz tunasinzia tu nakujiimbia wimbo wa tuvumilie tu, hatuchukui hatua kuiwajibisha,

Wizi wa 600 bilioni umefanyika kwa utawala huu wa jk kuanzia 2012 lakini watanzania hawa wajinga ni mabingwa wa ulalamishi, na kuna kukundi kidogo tu cha wajinga mara mia kinachoongozwa na Paul Makonda wanaoweweseka mitandaoni kila dakika kuitetea ccm.

Wiki juzi Mwakyembe kasaini mkataba wenye wizi wa zaidi 400 bilion lakini watz wa jamhuri ya wajinga wapo tu wamelegeza miili tu huku nchi inateketea,

Gesi ya Mtwara inasombwa matani na matani kwenda urusi kinyemela chini ya usimamizi na kusindikizwa na JWTZ huku nchi yetu hata sera ya gesi haijaiandaa, ccm imeanzisha kampuni ya kuchimba gesi na kujitwalia vitalu mhimu kisha kuingia ubia na makampuni ya kigeni. Lakini wajinga mpo tu vibarazani mkinywa gahawa.

Twiga na urefu wote ule anakunjwa mzimamzima na kuingizwa kwenye ndege hadi Dubei, huku nyie jamhuri ya wajinga mmetulia tu.

Ajali za barabarani kwa miezi mitatu tu zimepoteza maisha ya watz 1080,

EPA, MEREMETA, KAGODA, DEEEP GREEN, zote zimechota bot kwa wizi zaidi ya 400bilioni, lakini rais wa wajinga jk anachekacheka tu eti anawaomba warudishe kwahiari, hivi kuna sheria ya nchi hii mwizi anaombwa arudishe kwa hiari tena akiwa anakula ngisi uswahili tu?

Ajabu hakuna anaejua kama pesa hiyo ilirudi kupitia akaunti ipi na ilipelekwa wapi,

Rais anaapa mbele ya umma kuwa Richmond haijui, lakini miezi mitatu baadae Richmond inanumuliwa na Dowans na rais huyohuyo anakuwa shahidi wa mnunuzi mmarekani.

Suala la katiba mpya ccm imewadhihaki maradufu nyie wajinga, mmetoa maoni yenu chini ya tume ya Warioba lakini ccm imeyapeleka toilet na kuwaletea dude liitwa "rikatiba" la Lumumba chini ya Chenge na Migiro, lakini ajabu watz wajinga wanachekacheka tu sawa na mtawala wao.
Wanawachezesha akili tu, mara kikombe cha babu, mara desi, mara dengue, mara viungo vya binadamu, ilimradi tu nyie wajinga muwe bize kwa vitu vya kijinga.

JE WATZ SIO WAJINGA?
 
Last edited by a moderator:
Kweli mimi nikiraza sasa nachukua hatua
 
umeongea ukweli mtupu

inabidi tuanze cammpen hasa hasa vijijini mikoani coz huko nipo mtaji wa hiki chama tawala
 
Last edited by a moderator:
Wajinga wengi tunaishia mitandaoni tukiunda kunji mnasepa kila mtu anajifanya mwandishi wa habari
 
Watz sisi wapumbavu sio wajinga. Ujinga wetu na matatizo yetu ndio mtaji wa wachache.
We fikiria tu,matatizo kama maji elimu umeme vimewekwa makusudi kwa ajili ya maslahi ya wachache
 
W
Tujapopita katika bonde la uvuli wa mauti hatutaogopa mabaya kwakuwa gongo lako na fimbo yako vitatuongoza,

Njia ni pana iendayo upotevuni na wanaoiona ni wengi bali njia iendayo uzimani ni nyembamba
na waipitao ni wachache.

Wakati wewe unasema methali za kidunia "wengi wape", Mungu anasema "wateule ni wachache".

Nawachukia watz kwa ujinga wao katika jamhuri yao ya muungano wa wajinga!

Kamwe sitachoka kuwafunulia yaliyofichwa ambayo jicho halijapata kuyaona wala sikio halijapata kusikia.

Enyi watu wa jamhuri ya muungano wa wajinga, nanikawaloga?

Ninaposema taifa la wajinga nina maana pana zaidi.
Serikali ya ccm inawabaka mpaka kuwadhalilisha lakini watz tunasinzia tu nakujiimbia wimbo wa tuvumilie tu, hatuchukui hatua kuiwajibisha,

Wizi wa 600 bilioni umefanyika kwa utawala huu wa jk kuanzia 2012 lakini watanzania hawa wajinga ni mabingwa wa ulalamishi, na kuna kukundi kidogo tu cha wajinga mara mia kinachoongozwa na Paul Makonda wanaoweweseka mitandaoni kila dakika kuitetea ccm.

Wiki juzi Mwakyembe kasaini mkataba wenye wizi wa zaidi 400 bilion lakini watz wa jamhuri ya wajinga wapo tu wamelegeza miili tu huku nchi inateketea,

Gesi ya Mtwara inasombwa matani na matani kwenda urusi kinyemela chini ya usimamizi na kusindikizwa na JWTZ huku nchi yetu hata sera ya gesi haijaiandaa, ccm imeanzisha kampuni ya kuchimba gesi na kujitwalia vitalu mhimu kisha kuingia ubia na makampuni ya kigeni. Lakini wajinga mpo tu vibarazani mkinywa gahawa.

Twiga na urefu wote ule anakunjwa mzimamzima na kuingizwa kwenye ndege hadi Dubei, huku nyie jamhuri ya wajinga mmetulia tu.

Ajali za barabarani kwa miezi mitatu tu zimepoteza maisha ya watz 1080,

EPA, MEREMETA, KAGODA, DEEEP GREEN, zote zimechota bot kwa wizi zaidi ya 400bilioni, lakini rais wa wajinga jk anachekacheka tu eti anawaomba warudishe kwahiari, hivi kuna sheria ya nchi hii mwizi anaombwa arudishe kwa hiari tena akiwa anakula ngisi uswahili tu?

Ajabu hakuna anaejua kama pesa hiyo ilirudi kupitia akaunti ipi na ilipelekwa wapi,

Rais anaapa mbele ya umma kuwa Richmond haijui, lakini miezi mitatu baadae Richmond inanumuliwa na Dowans na rais huyohuyo anakuwa shahidi wa mnunuzi mmarekani.

Suala la katiba mpya ccm imewadhihaki maradufu nyie wajinga, mmetoa maoni yenu chini ya tume ya Warioba lakini ccm imeyapeleka toilet na kuwaletea dude liitwa "rikatiba" la Lumumba chini ya Chenge na Migiro, lakini ajabu watz wajinga wanachekacheka tu sawa na mtawala wao.
Wanawachezesha akili tu, mara kikombe cha babu, mara desi, mara dengue, mara viungo vya binadamu, ilimradi tu nyie wajinga muwe bize kwa vitu vya kijinga.

JE WATZ SIO WAJINGA?
Labda wewe mwenyewe ndo uko hivyo usitupakazie watz wote. Unayoyasema hapa mengine mtu akiyasoma anajua wewe ni hamnazo. Mfano gesi kusombwa na warusi labda unatunga mchezo wa kuigiza.
 
Last edited by a moderator:
Na ujunga sometimes ni Raha we mwerevu unaumia una hasira nyongo ina mwagika wee ila wengine hawana habari. Ukimuuliza what is going on in this country hajui. We watu heading za magazeti tu ambayo yako kibandani hulipii kusoma lakini utashangaa watu wako busy na mishe zao. Tv wengine taarifa ya habari hadi mzee mkoroni awepo akichelewa kutoka job sherehee. Kuna wakati ujinga raha sababu huteseki wala kupata shida. Unaacha werevu wateseke kwaajili yako.
 
Ulichokisema mkuu ni sawa, lakn na wewe ni mjinga hapo tukumbaliane, hafu vijana wajinga zaidi wanatoka mkoa wa dar es salaam, mimi huwanga nashagaa sana mnapojiita eti ukikaa dar es salaam ni sawa na eliyemaliza form six, big no.

any way mkuu hongera kwa thread yako zuri lakn mods wataitoa mda siyo mrefu. thanks
 
ujinga mkubwa ni ule wa kuona ujinga na ukaishia kuusema ujinga bila kuutatua ujinga.

"Don't find fault, find a remedy." Henry Ford
 
Vijana wa Dar kwa kushindwa kumlinda mzee Warioba kazi pekee mnayoweza na kwenda kukata viuno kule NJENJE mshindanishe masaburi yenu aka kalioz
 
Tusamehe sana mkuu, tunaahidi kuanzia sasa sheria za Mussa zitatumika rasmi.
 
Na ujunga sometimes ni Raha we mwerevu unaumia una hasira nyongo ina mwagika wee ila wengine hawana habari. Ukimuuliza what is going on in this country hajui. We watu heading za magazeti tu ambayo yako kibandani hulipii kusoma lakini utashangaa watu wako busy na mishe zao. Tv wengine taarifa ya habari hadi mzee mkoroni awepo akichelewa kutoka job sherehee. Kuna wakati ujinga raha sababu huteseki wala kupata shida. Unaacha werevu wateseke kwaajili yako.

Wewe ni mbobevu wa fikra huru!
 
siasa za nchi hii haziendi katika uelekeo unaostahili mambo mengi yameharibika wachache tunaowasikiliza wanatuchanganya hakuna sector isiyo na manung'uniko kilakitu hakikao sawa viongozi hawatutendei haki wachache wanahisi wanayomamlaka ya kutusemea na kutuamulia tulio wengi sio wanasiasa. wala wafanyakazi wa uma na mbaya zaidi watu wanafanya mabaya nyumbani ya migongo ya wengine na kwamaoni yangu kilammoja apimwe kulingana na nafasi yake kama mleta mada ulivyojaribu kushawishi kwa hoja na lugha mbovu katika kulisaidia taifa letu naheshim mchangowako katika jamii lakini kwa bandiko Lako hili sorry naliona linaukakasi
 
We nawe mjinga tu. Sasa wewe umefanya nn? Wajinga wale wote waingiao mtandaon na kuanza kulalamika. Ujinga ni kujifanya unajua sana kukosoa wenzio wakat wewe huna solution.
Kwanza hao CHADOMO ndio watako iinua nchi hii? Hawa nao ni wajinga tu coz wana agenda zao za siri nyie mnavikwa vilemba vya ukoka eti tunataka demokrasia, hakuna kitu kama hicho. Safu za uongoz wanapanga wao.......aende mmakonde aone kama atapata shavu chadomo. Lazima uwe wa kaskazini tu.
Nijibu basi serkali gan itaikwamua nchi hii.......maana ccm wanaharibu, si ndo usemavyo?
Tafuta maisha yako hujazaliwa kujenga nchi, ila kutimiza malengo yako na ujifie zako uende kwa Mungu wako.
Fanya yako. Hii nchi ina wenyewe.
 
Back
Top Bottom