Nakerwa ma hili neno UPINZANI

mohermes

Senior Member
Oct 19, 2010
124
28
Nimekuwa natatizwa sana na hili neno pindi linapotumika katika ulingo wa siasa hasa katika vyama.Vyama vinavyofanya kazi ya kuikosoa serikali vinaitwa vyama vya upinzani.Mi naona litafutwe jina jingine lenye kufaa kuitwa vyama vyenye kupaza sauti zetu walalahoi badala ya upinzani make kazi yake ni kuirekebisha serikali.

nawasilisha
 
Tumia neno opposition party. au chama cha siasa au chama cha ushindani. period
 
Back
Top Bottom