Nakereka na aina hii ya denda

ahahaha duh nahisi unajazaga kindoo
 
Mfunde..we c mpnz wake tu bali ni mwalimu,mshaur n.k
 
Kapicha tafadhali ili tuone labda ww ndo unakosea kutega mdomo
 
Nikipata mwanamke kama huyu nitafurahi sana.
Yani napendaaa kama nini
Nngekula mimate yake hadi anikome
 
Umeshasema denda unacholalama ni nini sasa?nenda katafute kamusi ya lugha uelewe denda ni nini
 
Weka na kapicha ili tuamini
 
vumilia tu baba.Mapenzni kuvumiliana tu.mtajambiana pia nayo ni kawaida tu
 
Hahahaahhahahaahahahahaha lol! I miss your desh desh....... hahaha mimi iko Penda sana Smart911
Nauliza tu... Kwa sababu love... Me na wewe tunapokuwa kwenye deep kiss mimi nasikia utamu tu unaotoka kwako vingine hata sijui...

But daah you really know how to kiss mahondaw wangu... The way you roll your tongue, how you give me your tongue its so original...
 
Wenzake walimwambia "mie mpenzi wangu huwa ananila mate" akakariri,muelimishe upya.
 
Denda huwa linahusisha kunyonya mate ndan ili kila mtu anywe mate yake na sehem ndogo itakuwa ni mate ya mwenzako...
.
Endapo ikatokea mmoja kat yenu akahis kinyaa kumeza yale mate ili yasijae mdomon atalazimika kuyamimina kinywan kwa mwenzake vingnevyo akilazimisha kuyameza anaweza kukutapikia halaf itakuwa mbaya zaid...
.
Cha kufanya ni kuindoa kitu ambacho kinapelekea yy kupata hicho kinyaa huenda ukawa unanuka mdomo, meno yanaonekana ya njano badala ya meupe au mate yako ni machachu badala ya kuwa tasteless jaribu kupiga mswaki au kutafuna big G au kula pipi yenye harufu nzuri itaongeza mvuto na kumtia hamasa ya kukiss
.
To maintain hygiene of ur mouth is the only solution
 
Ukipenda boga penda na maua yake, elewa ulimi pacha wake ni mate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…