Nakaya sumari

Jamani naomba kujua huyu nakaya sumari Bongo fleva,mwanasiasa yu wapi?
kuna thread nyingine kule... ingependeza kama tungekua tunasoma kwanza na kuchangia kuliko kuanzisha thread nyingi za mtu huyohuyo

unakua udaku aisee
 
She has low thinking capacity that's why alishindwa fanya right decision.......always revolution huwa inafanywa na watu wenye high thinking capacity na wazalendo...
 
tell her go to hell..........................anachotaka ni maslahi binafis kitu ambacho CDM kwa muda huu haiwezi 'kumsaidia'.
 
Hebu skieni nyie watu yuko wapi au anafanya nini is not a big deal kwani kuna mtu anaweza kutoa definition ya mtu kufanikiwa au kuto fanikiwa zaidi ya yeye mwenyewe? Labda hapo alipo ndio the best she wanted to attain unless yeye aseme vinginevyo.Preference na satisfaction thats all !! Nauza nyumba nahamia hotelini nani kakwambia nimechemsha kama mimi mwenyewe sijasema kwamba nimechemsha?
 
I Like her Tunes, We all make mistakes kama kweli yu mpiganaji anaweza kurudi chadema na kuendeleza harakati kwa manufaa yetu wote watanzania
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom