Nakaribisha partner kwenye biashara

Nakaribisha partner kwenye biashara

concordile 101

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
6,259
Reaction score
14,284
Nakaribisha mtu yeyote ambaye angependa kufanya biashara ya kusindika unga wa sembe nje ya tanzania aje tuunganishe nguvu.
Sifa
Awe tayari kurellocate
Awe na passport mpya na awe tayari kulipia business Visa
Mtaji ntampa asilimia 30 ya umiliki Kama hisa ie.aongeze million 20
Awe mwaninifu na mpambanaji kiukweli
Resources nilizonazo
Mashine ya kukoboa roller 4
Kusaga size 100
Jengo tayari ila kutokana na lilipo napaswa nihamie jengo jingine mazingira niliyopo hayaruhusu kiwanda
Connection ya wateja wastan kwa siku uwezo wa kuuza viroba 300 upo.
Mawasilion
0657561168 karibuni kwa maelezo zaid
 
Mkuu nipo interested sina business visa lakin na passport kubwa na nipo mzumbiji
 
Nikiweka Million 5 itafaa tufanye kazi?

Nafikiri concordile 101 angeweza kuweka hili jambo kwa mtindo wa hisa. Ikiwa mahitaji yake ni 30M au 20M akapata watu kadhaa wakachangia hicho kiasi mgawanyo wa mapato ukafuata kiasi cha kila mtu alivyochangia.

Lakini ni lazima mwekezaji ahusike moja kwa moja hadi imlazimu kuwa na passport?

Wazo zuri
 
Sio lazima ahusike moja kwa moja ila ili kujenga uaminifu, maana kwa jinsi hali ilivyo ngumu mtu akupe kiwango hicho Cha pesa ukafanyie nchi nyingine ngumu sana.
Mahitaji ni hicho kiwango au 10mil kwa hisa za asilimia 30 inawezekanika.
Au Kama mtu anaweza ingia mkataba letsay akatoa 10mil akabaki na copy ya aasset moja wapo ya zangu huku tz. Within a couple of labda baada ya miezi miwili tukakubaliana amount ambayo nakuwa Nampa ndan ya mwaka niwe nimemmalizia pamoja na interest yake.
Kitu Cha muhimu nahitaji kuraise capital maana Kuna potential nimeiona natakiwa niichangamkie fasta
 
Nikiweka Million 5 itafaa tufanye kazi?
Mahitaji ni kuanzia mil 10 hii yako ni nyingi Sana bosi ila itahitaji tuingize watu wengine ambao baadae Kama unavyojua tuko tofauti hatuchelewi gombana bosi. Lakin unaweza nicheck tukaangalia jinsi ya kufanya
 
Nafikiri concordile 101 angeweza kuweka hili jambo kwa mtindo wa hisa. Ikiwa mahitaji yake ni 30M au 20M akapata watu kadhaa wakachangia hicho kiasi mgawanyo wa mapato ukafuata kiasi cha kila mtu alivyochangia.

Lakini ni lazima mwekezaji ahusike moja kwa moja hadi imlazimu kuwa na passport?

Wazo zuri
Si lazima ahusike moja kwa moja ila walau inatakiwa kabla ya makubaliano walau atembelee sehem husika ili kuondoa sintofaham pia walau awe na uwezo wa kutembelea at least Mara moja kila baada ya miezi miwili
 
Sio lazima ahusike moja kwa moja ila ili kujenga uaminifu, maana kwa jinsi hali ilivyo ngumu mtu akupe kiwango hicho Cha pesa ukafanyie nchi nyingine ngumu sana.
Mahitaji ni hicho kiwango au 10mil kwa hisa za asilimia 30 inawezekanika.
Au Kama mtu anaweza ingia mkataba letsay akatoa 10mil akabaki na copy ya aasset moja wapo ya zangu huku tz. Within a couple of labda baada ya miezi miwili tukakubaliana amount ambayo nakuwa Nampa ndan ya mwaka niwe nimemmalizia pamoja na interest yake.
Kitu Cha muhimu nahitaji kuraise capital maana Kuna potential nimeiona natakiwa niichangamkie fasta
Mkuu,umeleta fursa kubwa sana,Changamoto iko kwenye mechanism hasa kwa kuzingatia mfumo wetu wa kiuchumi.Kwa wazo lako nafikiri unapaswa kufanya vitu viwili.Anzisha biashara hapa Tanzania Kisha sasa muingie Ubia/Hisa ambazo ndizo zitakuwa ni Pesa za kwenda kuwekeza huko nje.Mnapoedna huko Nje mnaenda kama watumishi wa kampuni/au wawekezaji kwa kuzingatia sheria za huko.Kwa kweli kama uko serious na hili wazo lako basi ni project kubwa sana ila ana kuishauri iweke rasmi kabisa.Kama utakuwa interested zaidi kufahamu namna bora ya kufanya hili basi tuwasiliane DM.All in All nakupa pongezi kubwa sana kwa kuwa na fikra kubwa.Kila la heri
 
Back
Top Bottom