kilamuruzi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,232
- 1,064
Mimi ninatatizo la kuwashwa kila ninapomaliza kuoga
Habari dokta. Naomba kujua tiba (dawa ya masundosundo sehemu za siri) maana huyu ndugu yangu alitibiwa ila yanarudi tena baada ya muda. Hana amani anateseka sana. Bila shaka atapata jibu sahihi kutoka kwako na hospitali alishapewa dawa ila baada ya muda yanarudi.
Nina mtoto was miaka mitatu na nusu anatatizo la amoeba sugu yaani anatumia flagile ya maji kila anpokutwa na ugonjwa hutulia kwa muda kisha hujirudia tena,naomba ushauri wenu
naomba ushauri wenu ndugu zangu, mye ni mjamzito miezi nane ujauzito wa kwanza, leo asubuhi nilenda hospital kufanya kipimo cha utrasound, majibu yake,.... Majimaji yanayomzunguka mtoto hayatoshi, pia mtoto ana uzito mdogo sana Wt: 1442g, naomba ushauri nifanye nini au nile chakula gani angalau uzito uongezeke wa mtoto nisaidieni jamani
Nini tiba sahihi ya homa. Maana naweza umwa maralia au Typhoid au U.T.I lakin baada ya kutibia homa inabak pale pale
Muscles za mguu wa kushoto zinavuta sana mpaka pembeni mwa tumbo kumacheza na kuuma ni mwezi wa 4 sasa tatizo ni.nini doctor?Ila nina ugonjwa wa asthma ba daw yangu kubwa ni rednisoln baada ya aminophylline na salbutamol kufail
ni kushusha joto na kuongeza damu.... hivyo pima kwanza kiwango cha damu.
hizo dozi huwa unatumia kwa usahii kweli?
Habari yako Dr, ninatatizo la vidole vya mikono kufa ganzi tatizo linaweza kuwa nini, na tiba yake ni nini.
doctor gorgeuous mbona ka stop kujibu maulizo??