Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,666
- Thread starter
-
- #21
Ahsante kwa uelewa wako Horseshoe Arch! Uwe na siku njema!Umekuwa too defensive anyway! Labda ethics zinakutaka hivyo!
Nitumie fursa hii pia kukupongeza kwa kuamua kutumia taaluma yako kutoa ushauri wa matumizi sahihi ya dawa. Ni imani yangu pia watatokea na wengine wenye taaluma nyingine ambao wataanzisha miraba yao ya ushauri humu...
Hello Mbwa dume,kama umejaribu dawa za tube hazijakusaidia unapaswa kuongea na daktari wa ngozi utumie dawa za meza zinazoenda kwenye system yote mwilini.Au unaweza kutumia tretinoin-klindamycin topical ointmen(ZALNA GEL)kabla ya kula hizo dawa.nasumbuliwa na chunusi sugu
nina umri wa miaka 31
nimejaribu kubadiri dawa za tube za kupaka pamoja na sabuni lakn bado chunusi kubwakubwa zinazidi
wengine wanasema labda kuna uchafu kwenye damu!
nimepima vipimo vyote ikiwemo hiv hakuna!
naomba ushauri..
natanguliza shukrani!
Duphastone naomba jua kazi yake kwa mjamzito??na salbutamol pale anapopewa mtu ambaye mimba inatishia kutoka!!!
Mkuu ramipril ni dawa inayotumia kushusha presha au kwa watu wenye matatizo ya moyo (heart failure, au kwa watu waliopatwa na heart attack inatumika kama prophylaxis), inaweza kutumika pia kwa watu wenye matatizo ya mafigo(diabetisk nephropathy).Nini kazi ya hii dawa ramipril
Duphastone(Dydorgestrone) inaweza kutumika kusaidia mimba isitoke hasa kwenye 1st trimester.Ina indications nyingi nyingine ukiachia hio kama infertility,premenstrual syndrome,endometriosi namenstrual disorders.
Salbutamol ni selective beta-adrenogenic agonists sijui unamaanisha formulation gani lakini kama ni tablets zinatumika kurelax muscles za womb na zinaweza kutumika kurelax muscles ya njia ya hewa(Bronchi)
Fata matumizi kama ulivyoshauriwa na daktari,lazima amepa uzito fact kwamba mtu ni mjamzito kabla hajaprescribe hio dawa coz kuna precautions pia.
Misoprostosol inatumika kama maintainance dhihidi ya vidonda vya tumbo hasa kwa watu wanaopata treatment yamisoprostosol inatumika kwa case gan?
Kuna tiba tofauti za psoriasis mkuu inategemea una psoriasis ya wapi kichwani,mwilini....
- VITAMIN D[SUB]3 [/SUB]ANALOGUES (CALPOSITROL na CALSITRIOL)
- ANTRACEN DERIVATIVES(ditranol)
- RETIONOIDS(Acitretin)
- PUVA-THERAPY
- GLUCOCORTIOCOIDS
Diclofenac ni dawa nzuri sana kwa inflammation and pain.Eti diclofenac si dawa nzuri kwa afya...kama ni ndiyo ni ipi mbadala wake!
Ingekuwa ni vizuri kama mhusika angefunguka zaidi kuhusu psoriasis inayomkabili na tiba alizopata mwanzo ili apate ushauri yakinifu mimi nimeorodhesha tiba tu zinazoweza kutumika in general lakini ofcoz kuna regime ambayo inatakiwa ifatwe.lakin mbona psoriasis ni viral infection kwenye T-lympocytes ama bacteria infection?
sasa mbona kama hapa bado tutapata ugumu wa kujua tiba ipi itumike kwenye aina gani ya psoriasis?
Dawa ya mba kwenye nywele ni ipi???
Nini madhara ya kutumia cetsizen kwa mda mrefu, nimekuwa nikitumia kwa zaidi ya miaka 6 ili inipunguzie mwasho wa ngozi, allegyHellow wapendwa,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!
Karibuni sana..
Hakuna shida mkuu kwa kutumia cetirizin kwa muda mrefu as long as hupati athari zozote za hizo dawa zinazohatarisha uhai wako naamini upo safe kabisa!!Nini madhara ya kutumia cetsizen kwa mda mrefu, nimekuwa nikitumia kwa zaidi ya miaka 6 ili inipunguzie mwasho wa ngozi, allegy
Nimekujibu juu scroll back usome!!Samahani docta...matumiz mabaya ya vidonge vya uzaz wa mpango (kuvinywa vingi 3mpk4) pindi mwanamke anapokuwa uoni siku za zake ni zipi
nashkuru sanaHakuna shida mkuu kwa kutumia cetirizin kwa muda mrefu as long as hupati athari zozote za hizo dawa zinazohatarisha uhai wako naamini upo safe kabisa!!