Nakaribia kupumzika kwa amani!!!!

Pole Mkuu! Ila tatizo lako linatibika kama utafuata ushauri wangu!
Tengeneza mchanganyiko ufuatao...
Juice ya Limao glasi 1.
Glasi 1 ya Maji ya Betri.
Steel wood (stili waya) 50grms.
Dettol ya maji 250ml.

Utatumia kunywa na kupaka mchanganyiko huo mara 3 kwa kutwa. Pia usisahau kucheza michezo ya kitoto kama vile Ready(rede) mdako na kushiriki kucheza kibaba-baba na watoto walio karibu yako hasa umri wa miaka 6 hadi 9... Utapona! Wengi wamepona kwa kuzingatia ushauri huu. Ukipona tafadhali usinitafute tutakutana siku ya mwisho unipe asante yako..!
Ugua poleee!

Pole Mkuu! Ila tatizo lako linatibika kama utafuata ushauri wangu!
Tengeneza mchanganyiko ufuatao...
Juice ya Limao glasi 1

Mkuu, hosptali yako ipo sehemu gani nimependa tiba zako

Usisubiri kupumzika kwa amani we jipumzishe mwenyewe kwa amani!! Wasalime Mwl Nyerere mwambie huku umeme hakuna, mafuta hakuna, watu wezi sana,... Salaam zangu mpe Dr Omary Juma mwambie Pemba khali yazidi kuwa mbaya, Ukibaatika kumuona Sokoine mwambie jamaa huku wabadhirifu wa mali ya umma kuliko maelezo, Mzee Kawawa mwambie tumemmiss maana yeye hakuwa na makuu...RIP

Pole Mkuu! Ila tatizo lako linatibika kama utafuata ushauri wangu!
Tengeneza mchanganyiko ufuatao...
Juice ya Limao glasi 1.
Glasi 1 ya Maji ya Betri.
Steel wood (stili waya) 50grms.
Dettol ya maji 250ml.

Utatumia kunywa na kupaka mchanganyiko huo mara 3 kwa kutwa. Pia usisahau kucheza michezo ya kitoto kama vile Ready(rede) mdako na kushiriki kucheza kibaba-baba na watoto walio karibu yako hasa umri wa miaka 6 hadi 9... Utapona! Wengi wamepona kwa kuzingatia ushauri huu. Ukipona tafadhali usinitafute tutakutana siku ya mwisho unipe asante yako..!
Ugua poleee!

Kuwa serious mkuu au unadhani Hoyanga anatania?.Kama huna cha kuandika ipotezee tu thread

Yesu ndiye msaada wako wa mwisho.Nakushauri utafute kanisa lenye imani ya kweli kwa Kristo Yesu uombewe utapona.Hakuna jambo gumu la kumshinda Mungu.
Ndugu zangu naombeni msaada, kila ninapotembea kwa mguu muda fulani maeneo ya kiuno napata maumivu sana kiasi kwamba miguu pia huanza kukosa nguvu !!!!!!! Lakini kila siku natembea kilometa 2 kwenda kazini. tafadhali nisaidieni!

jitahidi kula virutubisho, na kama itashindikana u-RIP mpelekee baba yangu salamu, kule uliza yule mzee waliyemuulia kule kanisani naye utamwona, mwambie mwanae huku bado nahangaika na maisha.

Nyie watu mnatania!mwenzenu anateseka nyie mwashabikia!Achen utan na ugonjwa!kama hauna issue ya kumshauri si uchape zako mwendo!Damn!

Nyie watu mnatania!mwenzenu anateseka nyie mwashabikia!Achen utan na ugonjwa!kama hauna issue ya kumshauri si uchape zako mwendo!Damn!

hakuna utani hapa, we are serious. JF dr. kuna maushauri kibao kwa magonjwa kama hayo, angekuwa anasoma wala asingepata shida.

Pole sana. Nina kaka yangu alipata condition kama yako walikuta ni discs za spine yake (ile mfupa una uti wa mgongo). mwisho alishindwa kabisa kutembea, ilibidi atumie support. kwa sasa anaendelea vizuri ingawa bado hajatembea vizuri. nakushauri ukafanye scan ya mgongo na upunguze kabisa kutembea hadi daktari atakapo kupa ushauri.

Pole Mkuu! Ila tatizo lako linatibika kama utafuata ushauri wangu!
Tengeneza mchanganyiko ufuatao...
Juice ya Limao glasi 1.
Glasi 1 ya Maji ya Betri.
Steel wood (stili waya) 50grms.
Dettol ya maji 250ml.

Utatumia kunywa na kupaka mchanganyiko huo mara 3 kwa kutwa. Pia usisahau kucheza michezo ya kitoto kama vile Ready(rede) mdako na kushiriki kucheza kibaba-baba na watoto walio karibu yako hasa umri wa miaka 6 hadi 9... Utapona! Wengi wamepona kwa kuzingatia ushauri huu. Ukipona tafadhali usinitafute tutakutana siku ya mwisho unipe asante yako..!
Ugua poleee!

<br / wallah unaua

nakuomba sn unisamehe kwa kukutania ila kiukweli tafuta mafuta ya habbat sauda weka kwenye kinywaji chochote cha moto unye kikiwa bd cha vuguvugu pia paka mafuta hayohayo kwenye kiungo kinachouma na weka maji ya moto kwenye chupa ya maji na uifunge then uiwele pale ulipopapaka mafuta, lengo ni kupasha mafuta hayo moto ili yaingie kwenye kiungo husika na utapata unafuu wa haraka sn. Believe me utapata nafuu sn PIA USISAHAU KWEA HOSPITAL KWA VIPIMO ZAID

Mi hata sijaelewa heading na ulichoandika. Unataka msaada gani na wewe unatuaga unaenda kupumzika kwa amani

wengi wanashtuka sana kuona mtu anatembea km2, kiufupi km2 ni sawa na kutembea kwa miguu kwa mwendo wa kawaida ni dk kumi hadi kumi na mbili

Back
Top Bottom