Nakaribia kukata tamaa

Pole sana
Mwezako kashajiandaa kisaikologia kukuacha, nakushauri jiandaa kisaikologia kuondoa matatizo ya Afya yako.

Anagongwa pekupeku Kuna magonjwa ya zina utayapata.
Mwenyewe atarudi anachokiendea huko asipo Pata mwenyewe atarudi ndipo utakapopata heshima.
 
Pole Sana ila hongera kwa uvumilivu
Naomba wema wako usisidi uwezo utakuja kufa alafu uwaache hao watoto yatima au walelewe na mama yao peke yake.
Usipo muacha huyo mwanamke hakika atakuua ili awe huru. Changamka piga chini huyo. Lea watoto wako Maisha yaendeleee
 
Hata vitabu vya dini vinasema ni halali kuachana kwa habari ya zinaa wewe unangoja nini?
 
Kwanza mna watoto 3 au 2?
Pili mtu wakike ukishamfumania na amekukana hadharani wewe subiria sumu.....
 
Achana na huyo mwanamke atakuuwa kwa stress, penzi lake kwako halipo usilazimishe itakugharimu, kama anamegwa na anajua unafahamu je kukuletea atakuzalia watoto wasio wako.
 

Nimerudia kusoma mara 3....mimi nikiwa mwanamke sijawahi sikia wala kuona mwanaume wa aina yako. Naomba pokea ushauri ulotolewa juu msije waachia watoto taabu. Pole sana mkuu
 
Nimerudia kusoma mara 3....mimi nikiwa mwanamke sijawahi sikia wala kuona mwanaume wa aina yako. Naomba pokea ushauri ulotolewa juu msije waachia watoto taabu. Pole sana mkuu
Nimewaelewa wakuu,Asanteni. A good way is always a hard way.
 
Kwanza mna watoto 3 au 2?
Pili mtu wakike ukishamfumania na amekukana hadharani wewe subiria sumu.....
3 kids 2 are twins. Hapo ndo kuna changamoto naambiwa twins amani ikitoweka nao wanatoweka.
 
move on kaka mkubwa huko sio kukata tamaa ni kuchukua maamuzi magumu yeye kwenye akili yake haoni kama anafanya makosa na mapenzi husiha kama maisha amabavo huisha na wala huwezi mzuia kupenda mtu mwingine maana wewe sio mungu kama kaamua kwenda kuolewa muache aende la si hivyo utaendelea kuumia na mwisho mtaishia kubaya ...cha msingi lea wanao maana kama mwanaume ushatimiza wajibu wako hapa duniani yeye kam bado anaona anahitaji kuolewa acha aende tulia tafuta kadogo dogo ka kupunguzia stress achana naye
 
Naona kitu humu, Angarau stress zinapungua.
 
Ushauri umeanza vizuri ila hapo mwishoni awe makini tuu. Watoto bado wadogo hao na wakishakosa mapenzi mama baba anatakiwa kusimamia show nzima kuhakikisha wanapata malezi sahihi na upendo.
Hako kadogodogo kanaweza kuwa kakuongeza stress Mungu akuongoze Mgaagaa
 
Mtoto wa kwanza ana miaka 9, wa pili mwaka 1, wa tatu nadhani atakuwa tumboni au ana siku chache tangu kuzaliwa. Kwa hesabu rahisi tu, mlianza kuishi 2011 + umri wa mtoto wa kwanza ni dhahiri kabisa mlianza uzinzi kabla ya ndoa. Sasa huenda hata wewe wakati unakutana nae alikuwa na tabia kama hizo tayari. Sasa huna budi kupambana na hali mkuu.
 
Hao wa pili ni twins
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…