Pole sana nyie ndo wasomi wetuKwa kukariri tu
Usijali haupo peke yako hata unaowaoona makazini na hospitalini hawakujua pia wanapambana na hali zao hivyo hivyo ili mradi tonge liingie mdomoni.Umesahau wazee wa EXPANSION JOINT nao ni kama wewe tu na hata baadhi ya walimu wako hapo chuoni hawajui wanachofundisha!Nipo mwaka wa tatu naenda wanne lakini sijui chochote kile ninachokisomea yani mi ni mtu wa kukariri kwa kwenda mbele pepa ikiisha nasahau vyote
Na semester ikiisha ndo kabisa nasahau kabisa nilichojifunza semester nzima .
Mbaya zaidi hata vitu nilivyosoma advance navyo kama nilipita patupu yani nipo mweupe peee kama karatasi.
Sasa naona kabisa nikiajiriwa nitaaribu kazi za watu tu .
Sasa nipeni ushauri nifanyeje kuacha chuo siwezi naona nitakosa title mtaani ,lakini nachokisoma sikielewi nashindwa hata ambao hawakwenda shule kabisa angalau wau wana mwangaza kuliko mimi.
Nipo mwaka wa tatu naenda wanne lakini sijui chochote kile ninachokisomea yani mi ni mtu wa kukariri kwa kwenda mbele pepa ikiisha nasahau vyote