Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,083
Wakuu nadhani shetani yupo kazini, mzee wangu. Anafanya kazi mkoani mimi nipo mkoa mwingine anakuja mara moja au 2 kwa mwezi.
Tuna miaka 18 katika ndoa sijawahi kuchepuka, mwanzoni nilikuwa natongozwa nakataa hapo hapo, ikafikia muda nikitongozwa nakubali ila nawapotezea mpaka wanakata tamaa.
Ikafikia hatua nakubali na naanza safari ya kwenda lodge ila nikifika tu njiani naghairi narudi kwangu, sasa naona kuna kishawishi kinaniambia niwe naenda kabsa nichepuke mara 1 nione inakuaje. Sasa kuna mchepuko anataka kunitoa outing Jumapili, nawaza sijui nimkubalie tu nione vya nje au?
Kemea Hilo pepo kwa nguvu kubwa Sana utakuja kushukuru baadaeWakuu nadhani shetani yupo kazini, mzee wangu. Anafanya kazi mkoani mimi nipo mkoa mwingine anakuja mara moja au 2 kwa mwezi.

hahahahahaha(ndani, nje, ndani, nje... kwa dakika kadhaa) tu
Umejiongeza mkuuChepuka na Mimi tu uone ladha kwanza km Ina tofauti na mumeo ndipo uamue...
Samahani lakini wewe Ni mama yangu mkubwa shikamooni...take it easy tupo jukwaani
Ibilisi yupo kazini hapo,piga goti kemea huyo pepoWakuu nadhani shetani yupo kazini, mzee wangu. Anafanya kazi mkoani mimi nipo mkoa mwingine anakuja mara moja au 2 kwa mwezi.
Tuna miaka 18 katika ndoa sijawahi kuchepuka, mwanzoni nilikuwa natongozwa nakataa hapo hapo, ikafikia muda nikitongozwa nakubali ila nawapotezea mpaka wanakata tamaa.
Ikafikia hatua nakubali na naanza safari ya kwenda lodge ila nikifika tu njiani naghairi narudi kwangu, sasa naona kuna kishawishi kinaniambia niwe naenda kabsa nichepuke mara 1 nione inakuaje. Sasa kuna mchepuko anataka kunitoa outing Jumapili, nawaza sijui nimkubalie tu nione vya nje au?
Mwenza tumshauri au tumuacheKumekucha....
HahahahahahaJipe raha dada.
Au unasemaje auntie?Hahahahahaha
Ila wewe🤣Miaka 18 kwenye ndoa ushakuwa zee tena zee la nyeti CHEPUKA TU.
JUVENTUS
Hahahha auntie afanye vile moyo wake unamtuma apate amani ya moyoAu unasemaje auntie?
Uko wapi wewe MyahudiIla wewe[emoji1787]
Nipo kijijini kwenu🤣🤣🤣Uko wapi wewe Myahudi
Hebu kuja Inbox kisha tujue kama umechangia kodi ya muamalaNipo kijijini kwenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Labda uniwezeshe wewe ili niweze kuchangiaHebu kuja Inbox kisha tujue kama umechangia kodi ya muamala
Kwahiyo moyo wake unamtuma achepuke unamshauri afanye kweli?Hahahha auntie afanye vile moyo wake unamtuma apate amani ya moyo