siyo wewe peke yakomahaba kwa mpenzi wangu yanapungua....
utendaji kazi wangu umeathirika..
naumia macho kwa kuspend muda mrefu kwenye monitor,
nakuwa kama chizi kucheka na monitor..
nalala late...
nachelewa kuamka..
naumwa kichwa kwa mawazo nitachangia nini jf..
nakosa muda wa kukaa na marafiki..
baadhi ya hobbies zangu naanza kuzipa kisogo..
nimeongeza item nyingine ya kurecharge modem kwenye bajeti yangu ya kila siku..
najuuuuuuta kuifahamu jf...nimeshakuwa addicted.
Kitendo cha kuwa hapa muda huu kinakuepusha na mambo meengi sana mtaani ambayo otherwise ungekuwa unayafanya saa hii huko!..Ni bora ukarecharge modem na ukawa salama kwenye JF kuliko kuwa kitaa ukipiga mishemishe za kuhatarisha maisha!
JF-a good place to stay!
hapo umenenaKitendo cha kuwa hapa muda huu kinakuepusha na mambo meengi sana mtaani ambayo otherwise ungekuwa unayafanya saa hii huko!..Ni bora ukarecharge modem na ukawa salama kwenye JF kuliko kuwa kitaa ukipiga mishemishe za kuhatarisha maisha!
JF-a good place to stay!
Usijute mjomba,JF ni zaidi ya kondom kwa ukimwi,inakukinga na kukulinda kila mara uiwazapo na uwapo ndani yake,you just keep on browsing!!!Mahaba kwa mpenzi wangu yanapungua....
Utendaji kazi wangu umeathirika..
Naumia macho kwa kuspend muda mrefu kwenye monitor,
Nakuwa kama chizi kucheka na monitor..
Nalala late...
Nachelewa kuamka..
Naumwa kichwa kwa mawazo nitachangia nini JF..
Nakosa muda wa kukaa na marafiki..
Baadhi ya hobbies zangu naanza kuzipa kisogo..
Nimeongeza item nyingine ya kurecharge modem kwenye bajeti yangu ya kila siku..
Najuuuuuuta kuifahamu JF...nimeshakuwa addicted.
ha ha ha hii ni kwa ma legend zaidi!!Naumwa kichwa kwa mawazo nitachangia nini JF..
Mahaba kwa mpenzi wangu yanapungua....
Mkuu una miezi miwili tu JF, kuna watu wako hapa tangu 2006 kwa hiyo Jipe Moyo MkuuMahaba kwa mpenzi wangu yanapungua....
Utendaji kazi wangu umeathirika..
Naumia macho kwa kuspend muda mrefu kwenye monitor,
Nakuwa kama chizi kucheka na monitor..
Nalala late...
Nachelewa kuamka..
Naumwa kichwa kwa mawazo nitachangia nini JF..
Nakosa muda wa kukaa na marafiki..
Baadhi ya hobbies zangu naanza kuzipa kisogo..
Nimeongeza item nyingine ya kurecharge modem kwenye bajeti yangu ya kila siku..
Najuuuuuuta kuifahamu JF...nimeshakuwa addicted.
wasiliana na wahusika wakupe kifungo! its simple to quit if you really want to!Najuuuuuuta kuifahamu JF...nimeshakuwa addicted.
Pole sna najuuta kulifahamu jukwaa fulani😀