Najuuta kwa niliyokutananayo tandika

Najuuta kwa niliyokutananayo tandika

ngulyavyangu

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2019
Posts
203
Reaction score
266
Kweli tembea uyaone., siku ya jumamosi nilianza safari fupi toka hapa nyumbani bagamoyo,safari ya kuelekea DAT kutazama mechi kati ya Town ship na yanga.
Mechi iliisha m majira ya saa mbili ivi.
Ivo kurudi bagamoyo ikashindikana.

Nikajikongoja taratibu nikiiangalia mandhari na wajihi wenyeji wa uku,mwisho nikatokezea tandika sehemu moja panaitwa forma..
Nikauliza boda kuna sehemu yeyote ntalata louge nzuri ? Akasema zipo ela yako tu,,.nikaomba anichukue anipereke ..

Akanipereka louge moja ivi nzuri ila bei ndogo sana chumba 15k kweli uswazi raha..
Kwakua sikua na mzigo wowote na nishapangaga nije Kutalii maeneo haya ndio maana sikuja na gari yangu makusudi maana ningekua nagari nisingekua huru Sana kukatiza mitaani.

Nikaona hebu nitoke kwanza kumbuka lengo langu lilikua ni kutembea na kuujua vizuri huu mtaa maarufu wa tandika, Nokafunga mlango nikaaga milinzi safariikaanza

Moja moja kwa mojanikafika sehemu mojakuna round about au njia panda ya kwenda buza kuna bar moja ivi inaitwa african km sikosei....

Nikaona ebu nipaki basi apa nipate mojamoja za kupatia usingizi mmmm
Nilivyoongia siamini nilichokiona..kwanza kuna malaya io sio kesi kilichonisikitisha niliviona vitototo vodogo vya kike vonajiuza mbaya zaidi vinavuta sigara hatari.
Yaani vimepinda ívi alafu vinasura ya kiumee..nikaona kazi ipo leo..

Nikaagiza kinywaji ile naanza kunywa tu namuona shoga aaaah
Mwanzo nilizani demu vile alivyovaa na jinsi alivyobinuka nilijua demu ile kumsogerea kumbe dume!!! Mwémwemwe
Sijakaa vizuri wakaingia km watatuivi alafu wakaenda kukaa pamoja..
Yaani wamekaa hawana habari daaaah nilitaka kutapikaaisee...

Nikaona apa sio pa kukaa. nikawa najirudisha mdogomdogo nafika Ru Devi's kona naona piki piki mbili wamemefika mbele yangu wakasimama mara yule wa pikipiki ya nyuma anasimama akashuka akamfata yule wa pikipiki ya mbele..akamkaba kumbe ni shoga kanywa bia za msela alafu akawa anamtoroka.

Mweee jamaa akawa anampandisha kwenye pikipiki yake kwa nguvu...
Ukazuka mtiti mkubwa ikabidiwatu tukasidie ndipo jamaa akamucha yule shoga ...

kuna sehemu kuna ushetani ila wa tandika mwisho.
 
Davis kona miaka ya 1998 kulikuwa na ticha mmoja mkali sana wa Geo na History II nimepiga sana tution pale ilikuwa unafuata ile reli kushoto
 
So umasikini maisha ya huku kama yana laana ndani yake unakuja kupanga ukiwa mstaarabu baada ya miezi 3 unafanana kama wao
LAANA IPI UNAYOISEMEA? KWAMBA HUKO TEMEKE WAMELAANIWA? NA NANI KWA SABABU GANI?
 
Kweli tembea uyaone., siku ya jumamosi nilianza safari fupi toka hapa nyumbani bagamoyo,safari ya kuelekea DAT kutazama mechi kati ya Town ship na yanga.
Mechi iliisha m majira ya saa mbili ivi.
Ivo kurudi bagamoyo ikashindikana.

Nikajikongoja taratibu nikiiangalia mandhari na wajihi wenyeji wa uku,mwisho nikatokezea tandika sehemu moja panaitwa forma..
Nikauliza boda kuna sehemu yeyote ntalata louge nzuri ? Akasema zipo ela yako tu,,.nikaomba anichukue anipereke ..

Akanipereka louge moja ivi nzuri ila bei ndogo sana chumba 15k kweli uswazi raha..
Kwakua sikua na mzigo wowote na nishapangaga nije Kutalii maeneo haya ndio maana sikuja na gari yangu makusudi maana ningekua nagari nisingekua huru Sana kukatiza mitaani.

Nikaona hebu nitoke kwanza kumbuka lengo langu lilikua ni kutembea na kuujua vizuri huu mtaa maarufu wa tandika, Nokafunga mlango nikaaga milinzi safariikaanza

Moja moja kwa mojanikafika sehemu mojakuna round about au njia panda ya kwenda buza kuna bar moja ivi inaitwa african km sikosei....

Nikaona ebu nipaki basi apa nipate mojamoja za kupatia usingizi mmmm
Nilivyoongia siamini nilichokiona..kwanza kuna malaya io sio kesi kilichonisikitisha niliviona vitototo vodogo vya kike vonajiuza mbaya zaidi vinavuta sigara hatari.
Yaani vimepinda ívi alafu vinasura ya kiumee..nikaona kazi ipo leo..

Nikaagiza kinywaji ile naanza kunywa tu namuona shoga aaaah
Mwanzo nilizani demu vile alivyovaa na jinsi alivyobinuka nilijua demu ile kumsogerea kumbe dume!!! Mwémwemwe
Sijakaa vizuri wakaingia km watatuivi alafu wakaenda kukaa pamoja..
Yaani wamekaa hawana habari daaaah nilitaka kutapikaaisee...

Nikaona apa sio pa kukaa. nikawa najirudisha mdogomdogo nafika Ru Devi's kona naona piki piki mbili wamemefika mbele yangu wakasimama mara yule wa pikipiki ya nyuma anasimama akashuka akamfata yule wa pikipiki ya mbele..akamkaba kumbe ni shoga kanywa bia za msela alafu akawa anamtoroka.

Mweee jamaa akawa anampandisha kwenye pikipiki yake kwa nguvu...
Ukazuka mtiti mkubwa ikabidiwatu tukasidie ndipo jamaa akamucha yule shoga ...

kuna sehemu kuna ushetani ila wa tandika mwisho.
Duh dunia imeisha
 
Sampuli yako uliyotumia sio sahihi kufikia kwenye kuihukumu Tandika..siku nyingine ongeza maeneo ya kutembelea halafu uje uanzishe uzi tena hapa.
 
Tandika yoote hakuna cha afadhari, pameoza kwanzia maadili, uchawi,matumizi ya lugha chafu ndo kwao kabisa, umalaya na uhuni kwa vijana wa kiume.
% kubwa ya wanaoishi tandika wanamatatizo hata ukikaa nae tu unaona huyu mtu mbona yupo tofauti tofauti hata kuongea kwao ni tabu tupu.
 
Kwanini ndugu usingenda hata kulala sinza au mwenge au makumbusho ambapo ni rahisi kurudi burgerheat
 
Back
Top Bottom