Najuuta kuhama

blackberry m

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
563
Reaction score
415
Ilikuwa ni miezi miwili iliyopita nilipochukua uamuzi wa kuhama nyumba niliyokuwa mara ya kwanza.
Kama mtakumbuka ni ile ambayo baba mwenye nyumba aligundua kuwa namgegeda mwanae.
Basi baada ya kuhama nilipata nyumba nyingine maeneo fulani ya Sinza. Baada ya kuhamia hapo rasmi, ilinichukua mwezi kufahamu ukweli halisi kuhusu nyumba hiyo.
Kwanza walikuwa wanaishi wanawake ambao wanajiuza. Hilo nililigundua baada ya kuona kila mmoja anatoka na kurudi usiku mnene na siku nyinginezo hurudi asubuhi kabisa.
Kiukweli japo niliwauma wawili, lakini ilikuwa kabla ya kubaini kuwa hiyo ndiyo biashara yao.
Kitu kingine kinachonifanya nijute ni tabia yao ya kunisema na kunitizama kila nikipita. Hata iwe mchana wananisema na kwa muda wao wenyewe wanakuja na kuniambia kuwa fulani alikuwa anakusema (wanakuja tofauti tofauti).
Baada ya kugundua tabia hiyo, nilisema kuwa njia mwafaka ni kuwatafuna wote na kweli nilifanikisha azma yangu lakini bado wananisema.
Jambo la tatu linalonifanya nijute ni kuhusiana na tabia yao ya kunitumia kama mtu wa kuwafungulia geti.
Hilo linatokana na dirisha la rum yangy kuwa karibu na ukuta wa geti kwa hiyo hunigongea mpaka inakuwa kero.
Nakereka kwani nyakati wakirudi wanakuwa na mawenge ya pombe na wakati mwingine akirudi mmoja basi atang'ang'ania hadi nimkaze. Nimechoka kwelii
Najuuuta kuhama. Bora ningebaki namtafuna mtoto wa mwenye nyumba.
 
Mmmmmh!!!
Siku ukibebwa kwenye jeneza huku mapambio yakiimbwa na msafara mkubwa wa wanaokusindikiza kwenda kaburini ndio utatia akili kichwani.
Jiandae kwa maswali na kutoa hesabu
Ndiyo maana najuta mkuu. Sikuwaza kama itakuwa hivyo ila imetokea tu

Kwani nyumba yako hiyo umejenga mkuu hama tena hapo uliluka mkojo ona sasa umekanyaga mafi
Mkuu si nyumba yangu na nipo katika mipango ya kuhama lakini huwa nakuwa mzito sana linapokuja suala la kuhama. Nafanyaga selection hadi najikuta natumbukia kubovu
 
Ndiyo maana najuta mkuu. Sikuwaza kama itakuwa hivyo ila imetokea tu

Ndiyo maana najuta mkuu. Sikuwaza kama itakuwa hivyo ila imetokea tu

Mche Bwana na kumtukuza kwa maana saa ya hukumu yake i karibu

Ufalme wa Mungu hauji kwa kuuchunguza bali upo mioyoni mwenu
 
Mkuu si nyumba yangu na nipo katika mipango ya kuhama lakini huwa nakuwa mzito sana linapokuja suala la kuhama. Nafanyaga selection hadi najikuta natumbukia kubovu
Chakufanya mkuu kabla hujsamia sehemu kamata mtu unaeona atakupa data nzuri za sehemu usika ndio ufanye maamuzi hizi nyumba kwa nje ni nzuri ndani ni shida
 
Mche Bwana na kumtukuza kwa maana saa ya hukumu yake i karibu

Ufalme wa Mungu hauji kwa kuuchunguza bali upo mioyoni mwenu
Mkuu najikutaga katika wakati mgumu lakini nakuahidi kuwa nitatumia maamuzi hayo kuondokana na ushetani huo
 
Chakufanya mkuu kabla hujsamia sehemu kamata mtu unaeona atakupa data nzuri za sehemu usika ndio ufanye maamuzi hizi nyumba kwa nje ni nzuri ndani ni shida
Mkuu tatizo langu huwa siwaamini sana hao watu. Wanaweza wakawa na maslahi binafsi na nyumba unayotaka kuhamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…