Nelly Emma
Member
- Aug 16, 2012
- 10
- 2
Nimempenda kaonesha dalili kunikubali,lakin kanitolea nje.nimfanye nn?
Nimempenda kaonesha dalili kunikubali,lakin kanitolea nje.nimfanye nn?
Nimempenda kaonesha dalili kunikubali,lakin kanitolea nje.nimfanye nn?
Furahi kama kakutolea nje.akunyimae kunde anakupunguzia Mashuzi.....
Nakushauri umbake kama hutajali....
Eeeeeh bhaaanaaa Eeeeh, nguvu ya nini......Mbona ulimi tu unamlainishaaa... embu sikiliza hii hapa chini.....
achana nae.
kufanya nini?Halafu "AJE KWAKO?"
mpige ngumi ya shingo....kwani ndio yeye pekee unaweza kumpenda?
kufanya nini?
Eti umfanye nini kwani lazima akukubali ha ha ha ha nimechekaje mie kha!!!!!
HorsePower hujambo wewe hivi nivea yuko wapi siku hizi?Labda anataka muwe marafiki tu na wewe unataka mambo mengine ....!
watoto wa siku hizi mna mambo. sasa umemtongoza mkaka kakukatalia jua kwamba ndo inavyouma wewe unapomkatalia mwenzio anapokutongoza. kumbe inauma kwa wadada lkn kwa wakaka haiumi eeh!"uzibe PENGO la huyo unayemuhimiza aachane naye"