😂😂Pole unaonekana na wewe mfupi andunje .... ufupi sio kirema mkuu...ni disadvantage ....
Pia kuanzia leo nimekuteaua kuwa waziri wa watu wafupi jamii forum cheo chako andunje ....
Najua utabisha wewe sio mfupi ila ulivyoandika nimejua wewe ni andunje
Naomba usibishe kabisa maana ukibisha ndo tutaamini kabisa ule msemo wa watu wafupi wabishi sana ...jilindie heshima usibishe
Acha hizo mkuu si vizuri aisee unakosea jamaa kaeleza vizuri sana au labda kama unatafuta sifa mitandaoniPole unaonekana na wewe mfupi andunje .... ufupi sio kirema mkuu...ni disadvantage ....
Pia kuanzia leo nimekuteaua kuwa waziri wa watu wafupi jamii forum cheo chako andunje ....
Najua utabisha wewe sio mfupi ila ulivyoandika nimejua wewe ni andunje
Naomba usibishe kabisa maana ukibisha ndo tutaamini kabisa ule msemo wa watu wafupi wabishi sana ...jilindie heshima usibishe
Wewe MBILIKIMO tafadhari sana kaa kimya nyie hata Jwtz huwa hamtakiwi ...humu jamii forum tunawavumilia sana watu wafupi ilibidi muwe jf juniors yenu mkae hukoAcha hizo mkuu si vizuri aisee unakosea jamaa kaeleza vizuri sana au labda kama unatafuta sifa mitandaoni
Kwakuwa wewe ni mfupiKumuita MTU mfupi hiyo ni bullying au unyanyasaji wa kisaikolojia wa kumfanya MTU asijiamini .
Binafsi nikiona MTU anamuita MTU mfupi ili Kum-torture psychologically nakuwa namuona hajitambui
Kwakuwa I don't think Kama kuna MTU aliji design hivyo
pole mwaya, kwani una umri wa miaka mingapi saiv dada etuKumbe ni kweli mapenzi sio ya kuendekeza?
Wanaume wabaya sana hasa akiwa mfupi
Hii forum imebadilika sana ,nyuzi kama hizi moderators hata hawashughuliki nazo ,ila maelfu ya nyuzi za maana mods wanazifuta , Hadi nahisi mods wa jukwaa siku hizi ni waajiliwa wa mfumo BeeeKumbe ni kweli mapenzi sio ya kuendekeza?
Wanaume wabaya sana hasa akiwa mfupi
Hujajuta vizuri, jaribu ma kwetu warefu halafu ukawa na kisirani utajua hujui, unaliwa sana na unaachwa bila sababu😂😂Kumbe ni kweli mapenzi sio ya kuendekeza?
Wanaume wabaya sana hasa akiwa mfupi
Nawe ushalambwaga?Kimekulamba🤣
Unamaanisha apigwe tukio hadi ashindwe kutoa mlio?Jamaa ilitakiwa akupige tukio la maana mpaka ushindwe kupost uzi.
Yaani mapenzi ukikutwa nayo upewe kesi ya uhaini😂Mapenzi yafutwe
Sio wote bwana, jaribu na wengine bado tupo wema wengi mno.Kumbe ni kweli mapenzi sio ya kuendekeza?
Wanaume wabaya sana hasa akiwa mfupi
tunavaa koti la mfarijiHuu muda uliotendwa ndo sisi wazee wa looseball huwa tunautumia kula tunda kimasihara kuwa makini
Usimdanganye mtoto wa watuSio wote bwana, jaribu na wengine bado tupo wema wengi mno.
Hata hivyo pole.
Sijawahi kwakweli, coz sinaga matarajio Kwa hayo mambo😁Nawe ushalambwaga?