Kama Ww Ni Mwanamke Mrefu Na Huna Heshima Na Unadharau,usi Date Na Wanaume Wafupi Maana Hawanaga Simile Kwa Watu Wanao Wanawakosea Hasa Wanawake,maana Huingiza Fikra Za Maumbile Yao Kama Chanzo Cha Kukosewa,
Kwaio Inaonyesha Ww Kama Mwanamke Unashida Hizo Jirekebishe,usilaumu Bure.
Pole unaonekana na wewe mfupi andunje .... ufupi sio kirema mkuu...ni disadvantage ....
Pia kuanzia leo nimekuteaua kuwa waziri wa watu wafupi jamii forum cheo chako andunje ....
Najua utabisha wewe sio mfupi ila ulivyoandika nimejua wewe ni andunje
Naomba usibishe kabisa maana ukibisha ndo tutaamini kabisa ule msemo wa watu wafupi wabishi sana ...jilindie heshima usibishe