Najuta zaidi ya Tsh. 500m nimezika katika majengo, mtaji wa kufanyia biashara umepungua pakubwa sana

Pole!

Hiyo situation naijua niliwahi kuipitia lakini sio kwa kiwango Cha Hela zako!!

Hukukosea,ulifanya kwa msukumo was ndani (the gut)matunda utayaona in the long run kwa muda mrefu!!

Sijajua aina ya majengo uliyojenga!no lodge,frem za biashara,nyumba za kupangaw!!?

Kinachozingua ni nyumba za kupanga lakini frem na lodge hutegemea location!!kama location imebamba frem utazipenda mwenyewe,pia logde hivyo hivyo!!

Biashara ni upepo TU!hauna matokeo ya kudumu Sana!faida kubwa nje nje na hasara kubwa hivo ivo!!

Jipe muda halafu kama ni biashara Anza na mtaji mdogo huo huo unaoudharau!!
Sasa mkuu hapa nimebaki namtaji wa 150m..nawaza biashara zingine kabisa zitakazo run kwa pesa hiyo ikakua faster nirud ktk game vizur
 
Habar wakuu nawashauri msifanye makosa kama niliyofanya..ukipata pesa wekeza ktk biashara nasimajengo...fursa nyingi zimenipita kutokana na namtaji kuwa mdogo sababu ya sehemu kubwa ya faida nilipokua naipata haikurudi kuwekeza katika biashara zaid..
Matokeo yake wakat fursa naziona Sasa mtaji hautoshi bidhaa zingine nashindwa kuzinunua sabubu mtaji hautoshi sababu sehemu yafaida haikurudi ktk biashara zaid yakwenda kwenye maujenz ambayo hayaniingizii pesa yamaana tofauti na ambayo hizo pesa zingekua katika biashara
Mfanyabiashara gani mwenye 100m+ unashindwa kujua kuwa nyumba n asset yaan wewe tumeshindwa kujua hata watu waliokuzungukuka wameshindwa kujua hata maafisa mikopo wameshindwa kukuelewesha.

Itakuwa huna hyo biashara kama unayo basi jua unakoelekea ni kwenye zile stori za unajua Mimi nilikuwaga, au zile enzi zangu Mimi, mara nishagashika pesa,
 
Nyumba ni aaset kutegemea uko wap na biashara unafanyia wapi
 
Nyumba n asset hata kama unafanya biashara mtwara nyumba ipo mara.
Nikweli ila unaweza kuwa sehemu una nyumba ya thamani kubwa ambayo inaweza kukupatia mkopo wa 300m ila Ilo eneo ulipo hakuna biashara unayoweza kufanya ikakuwezesha kulipa huo mkopo wa 300m maana yangu ya mzunguuko mdogo mtaji mkubwa
 
Kweli maisha tunatofautiana, yaani mtu anahesabu Milioni 500 wakati huo niko na buku mbili nahesabu nitatoboa nayo vipi leo?

Never give Mkuu, 2-3 years back na mimi nilikuwa budget yangu ni buku 1 kwa siku, hapo naishi home maisha magumu sana, ila huwezi amini leo hii 2024 na mimi Mungu kashusha neema ya kuhesabu angalau 10M plus… naamini kwa mwendo naenda nao kabla ya 2030 ntakuwa nimefika huko sababu hata umri bado unaruhusu.
 
Nyumba inakuwa na
Nyumba ni aaset kutegemea uko wap na biashara unafanyia wapi
maana kama iko eneo hotcake. Chukua mfano una jengo liko Sinza alongside Shekilango Road. Una jengo liko alongside Bagamoyo Road au Mwaikibaki Road. Hayo maeneo ni ya kishua hivyo hata jengo thamani yake itakuwa juu sana ukilanganisha na jengo hilo hilo likiwa Chanika 😂 Vikindu au Chamazi.
 
Umewekeza matunda yake utayaona baada miaka 10 20 ijayo kuna umri utafika hautaweza kukimbizana na biashara ila kuletewa KODI ni very simple hata kam ukiwa mahututi kitandani
Hakuna aliyewahi filisika baada kuwekeza kwenye majengo

Biashara ni CYCLE
Bado sijaona ulichopoteza ni vile kawaida ya BINADAMU hawezi ridhika na alichonacho hiyo nature
 
Umewekeza matunda yake utayaona baada miaka 10 20 kuna unri utafika hautaweza kukimbizana na biashara ila kuketewa KODI ni very simple hata kam ukiwa mahututi kitandani
Hakuna aliyewahi filisika baada kuwekeza kwenye majengo

Biashara ni CYCLE
Bado sijaona ulichopoteza ni vile kawaida ya BINADAMU hawezi ridhika na alichonacho hiyo nature
Nimepat kitu hapa
 
Nyumba inakuwa na

maana kama iko eneo hotcake. Chukua mfano una jengo liko Sinza alongside Shekilango Road. Una jengo liko alongside Bagamoyo Road au Mwaikibaki Road. Hayo maeneo ni ya kishua hivyo hata jengo thamani yake itakuwa juu sana ukilanganisha na jengo hilo hilo likiwa Chanika Vikindu au Chamazi.
Unajua miaka ya 70s 80s sinza tulikuwa tunaenda kuwinda NDEGE hakukuwa na nyumba nyingi ni miti tuu ikawa mitaa tayari ilikuwa imeshakatwa na watu washanunua viwanja tayri ujanja wote hatuvuki SAM MUJOMA road 7bu
kulikuwa kuna CHATU poli lile la CHANGANYIKENI yaan huwezi amini SINZA ilikuwa ikifika saa 12 hakuna anayetembea huko kulikuwa na mtu Anaitwa SIMBA CHAI na mwenzake BOZI walikuwa hao ndio Chinjachinja
MAKUMBUSHO miaka ya 90s tulikuwa tunakuita Maji machafu pale MAKUMBUSHO ule mtaa AKACHUBE ROAD
Usalama pale makumbusho kulikuwa kunalimwa mchicha nyuma usalama wanakuita kwa RIDHIWANI mikocheni yote kulikuwa ni poli na mashamba ya mpunga ile mikocheni
Nikikuambia pale mkwajuni uelekeo wa kwenda Studio mpk moroco kilikuwa kijia tu cha kutembea kwa miguu mpk unakuja kuipata OLD BAGAMOYO

Goba ile miaka 10 iliyopita watu walikuwa wanapanda VIPICKUP kuwafikisha makwao
miaka 90 tulikuwa tunaenda LIKIZO BOKO kwa BIBI ndugu zetu wakifa tunasafirisha kutoka MWANANYAMALA au MAGOMENI tunaenda kuzika BUNJU B nyuma pale kilomita km 1 hivi kutoka bagamoyo ROAD
Kibada ile kama ungefika miaka 15 nyumba na unayoiona leo ungejiuliza hivi miembe yote imeenda wapi

Wajanja waliwekeza huko kote kwenye ARDHI leo hii wanakula maisha bila bughuza wala tabu
Hvyo hata CHAMAZI VIKINDU kama utaamua kuwekeza ARDHI leo matunda utayaona baadae
mbagala ZAKHEM uelekeo wa KIBONDEAJImwaka 2007 nilinunua kiwanja kwa laki 8 leo hii kile kiwanja kina thamani ya milioni 10 mpk 20 hapo sijajenga chochote kuna BANDA tu la kawaida
Kama unataka UTAJIRI wa kweli upo kwenye ARDHI na ni lazima uwekeze si chini ya miaka 20 ndo uone matunda yake
Nyumba ya babu yangu mwananyamala walijenga mwaka 1972 kwa jumla ya kila kitu shilingi 5000
Nyumba ya babu yangu mkubwa Komakoma zile NATIONAL housing walichukua kwa mkopo wa kitu kama 3000 au 5000 hivi sina hakika nitauliza ila kuanzia 1961 mkopo waliumaliza 1970 mwishoni hivu
Leo hii ile nyumba ina thamani ya milioni 200 plus

Wekeza katika ARDHI wape elimu watoto wako watakuja kuendeleza URITHI kwa GENERATION mpk ya NNE kutoka wewe
 
Mkuu utakuwA ni lijendi sana, mfano kama watoto ukiwawekezea leo ardhini 20 years ahead patakuwa mjini kabisa kule.
 
Unasema una mtaji wa M150? Mijengo thamani zaidi ya M500

"Unikumbukee, baaabaaa unapo wazuru wengine naomba unikumbuuke, usinipiteee baaabaa"

JF : a site where broke niggas shares inputs with supposedly made niggas
 
Back
Top Bottom