habari zenu wana MMU
Najuta kusema uongo na tamaa yangu ya mapenzi, mimi ni kijana wa kiume sijaoa nafanya kazi na kampuni fulani hapa rocky city. Mwezi januari nilihama sehemu niliyokuwa nimepanga nikapata chumba sehemu nyingine.
Nilipohamia mama mwenye nyumba anaishi na mdogo wake wa kike akaanza kuwa karibu na mimi sasa kidume nikarusha ndoano binti kakubari kutoa gegedo, baadaye dada mtu kainasa habari kuwa nakula mzigo kwa mdogo wake ikabidi amwambie mdogo wake anipe taarifa kuwa jion nimuone dada yake ana maongezi na mimi.
Maswali niliyokutana nayo katika kile kikao kati yangu na dada wa yule binti ni:
majibu niliyompa ni kwamba siwezi kujibu maswali yako haraka na mapema mno.
- mdogo wangu nimemuuliza akasema ukweli kwamba una mahusiano naye, je mpango wako ni upi sasa,unakula mzigo na kuacha au una malengo ya kuoa?
- Je huna mke au mpenzi mwingine?
Lakin kinachonifanya nijute ni kuwa mwezi June 2014 mpenzi wangu anakuja toka Dar kuja kuishi kwangu akiwa anafanya field na siwezi kuhama ile sehemu coz nimelipa kodi ya mwaka mzima na masharti ya mkataba wa pango ni kwamba mpangaji akihama kabla ya muda kuisha hela hairudishwi.
Kuepusha shari kati ya mama mwenye nyumba, mdogo wake(gegedo langu la sasa) na mpenzi wangu wa ukweli Nifanye? USHAURI WAKO NI MUHIMU NA SIYO MATUSI

wanaume waache waendelee kuwa wanaume ILA
teh teh teh tupiamo kapicha mkuu!
Umeongea kwa huruma sana!
mmaza anakasirikaje....... maana kuna siku tunapiga mastori kijana akaaga anaenda kumpokea bidada
anakuja nikaona maza kamaindi anaongea mbofu nikajua shangaz haziivi na mkwe mtarajiwa kumbe
wanashea gegedo ndio maana...UWANJA inabidi aachie tu
Hiyo kali aisee.Kwahiyo wa SAUT akija huyo mmama anakubali matokeo anamuachia mtoto wa chuo uwanja?
kabla sijakupa mbinu za kumshambulia adui bila kukuona nikuulize kwanza. Huyo mchumba wako atakaa mda gani kwako? Nijibu hapo halafu twende pm nikupe mbinu hayo mambo madogo
yaani wewe ndooo unamwaribu kabisa sasa maujanja hayo unampa ya nini mtu mwasherati si ndo na wengine humu wataiga?Nachukia tabia yako na ni vibaya sana kubetray trust ya mtu.
Ila kwa sababu situation yako ni very challenging n i like challenges....
Okay if anyone asks u did not hear this from me.
Mtafute rafiki yako ambaye unaweza kuangusha kwake. Muombe hifadhi kisha kuwa busy na maisha/ kazi kuongeza kipato na kukosa muda wa social activities. Muda mchache kabla mpenzio hajafika Mz anza kulala kwa rafikio, jizoeshe kwa majirani. Mwambie mpenzio umelazimika kuwa unaishi kwa rafikiyo kwa sababu huwezi kuishi tena pale kwako(Mpe heavy constructive reasons). Shaurianeni sehemu ya yeye kulala. Siku unampokea mpokee vizuri kuwa naye mda wote mpeleka atakapolala kisha kalale kwa rafikiyo(Make sure unampeleka huyo dada hapo kwa rafikio-act as if u live there and u have nothing to hide). Basi we busy na kazi na dada busy na field. Makutano kwa rafikiyo. Akishazoea hali siku hamuonani kalale kwako. Dada akirudi Dar na mkataba ukaisha hama!! Nausirudie tena upuuzi wako