Najuta tamaa mbaya

Ngoja nikuitie maziwa mgando. Mtu yeyote mwenye jina linajumuisha huwa anakuwa na akili za asili, sasa zako umekula?
 
Last edited by a moderator:
kuna mwingine huwa anatoka SAUT anakuja daslama field kumbe kwa mupenzi

akiondoka huyu kaka anatembea na mama mtu mzima na mmaza kazaa siku si nyingi
mtoto ni wa huyo kaka ila bidada anajua huyo mama ni shangazi wa BF wake NGASOKA....

Hiyo kali aisee.Kwahiyo wa SAUT akija huyo mmama anakubali matokeo anamuachia mtoto wa chuo uwanja?
 
kabla sijakupa mbinu za kumshambulia adui bila kukuona nikuulize kwanza. Huyo mchumba wako atakaa mda gani kwako? Nijibu hapo halafu twende pm nikupe mbinu hayo mambo madogo

nataka hapa hapa! pm kuna mambo
 
You are the Author of your own life, uliamua kufanya movie yako iwe na wahusika wengi sasa unacover cost mwenyewe.
 
akija Waambia dada ako kaja.... na mchumba ako akija mwambie UKWELI
 
ahahahahahhahahahahha Maziwa fresh....umenifurahisha sana aiseeeeeeeeeeee!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Jirani jirani jirani... Kumbe ulikuwa unapita kwa shost angu eeeh??
 
Hiyo kali aisee.Kwahiyo wa SAUT akija huyo mmama anakubali matokeo anamuachia mtoto wa chuo uwanja?

mmaza anakasirikaje....... maana kuna siku tunapiga mastori kijana akaaga anaenda kumpokea bidada
anakuja nikaona maza kamaindi anaongea mbofu nikajua shangaz haziivi na mkwe mtarajiwa kumbe
wanashea gegedo ndio maana...UWANJA inabidi aachie tu
 
Hahahahahaa experience makes it perfect.Tumesharudi njia kuu kwahiyo tunabaki kuwa consultants wa hawa wenzetu ambao bado wanahangaika na michepuko

mpaka natamani ningekuwa Maziwa fresh , maana ushauri wako nimeuelewa sana....hongera kwako mkuu!!!
 
Last edited by a moderator:

Advice is what we ask when we already know what to do but wish we didn't.

Wewe fanya kile ulichojiamulia kufanya.
 
For real sioni chakukushauri, labda uusikilize moyo wako mzani unaelemea wapi kati ya dsm name mwz.
 
Maamuzi yawe kwa yule unayempenda, usiyempenda achana naye.
 
Hivi watu kumbe wanapoteza pesa kutengeneza matangazo halafu watu hataaa hawayaelewi...baki njia kuu mkubwa michepuko sio dili
 
hama, maana utafanyiwa visa mpaka basi, hivi unafikiri wakijuana hao kuwa wanashea gegedo moja watajisikiaje? hama hiyo nyumba kama unataka amani. sababu tafuta mwenyewe, na uache zinaa, maana kama ulikuwa waenda peku hatari sana hiyo.
 
Ungemuwaza huyo mpenzi wako wa Dar hata kwa dakika moja tu kabla hujamtongoza mdogo wa mama mwenye nyumba leo usingekuwa na hilo tatizo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…