Najuta kuzaliwa Tanzania

Najuta kuzaliwa Tanzania

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
13,258
Reaction score
13,367
sijui nijilaumu mm kuzaliwa Tz au nimlaumu Mungu kutunyima akili?
 
sijui nijilaumu mm kuzaliwa Tz au nimlaumu Mungu kutunyima akili?

Kwa sababu hii au?
2Q==
 
hizi techology zinatuaibisha nmeshindwa kuattach pic eti
 
Watu wanatoka Ulaya kuja kutajirikia hapa na wanaondoka na maisha mema - kama ni tatizo litakuwa la kwako la kibinafsi kabisa.
 
We si mgirik...juta tu..maana hakuna jinsi
 
Dah kaka umewadiss wazazi .... futa uzi na ustakhafilu kabla ya jua halijazama.

Ni ushauri tu.
 
Watu wanatoka Ulaya kuja kutajirikia hapa na wanaondoka na maisha mema - kama ni tatizo litakuwa la kwako la kibinafsi kabisa.

tatzo hamjaiona picha nilikuwa najaribu kujivika uhusika wa tukio lenyew
 
Dah kaka umewadiss wazazi .... futa uzi na ustakhafilu kabla ya jua halijazama.

Ni ushauri tu.

mkuu nitake radhi sijawadis wazaz wangu ila ungeiona picha ungeweza hata kutoa mchozi, pambanua akili yako sio kila ukionacho au ukisikiacho ndivyo kilivyo,,,,
 
kama huna akili huna tu hata uzaliwe wapi!!! ila nadhani una maana unajuta kuzaliwa na wazazi wako! wala si nchi uliyo zaliwa!

unaweza kuwa na akili lakn fursa znabana...... Kwan hujawaona watu na elim zao wanapigika hapa lakn wakizamia nje wanatoka? Hivi unafikir akili yako ikiplan biashara ya bangi utatoka salama? Lakn ukizamia jamaica utakuwa salama tu na biashara yako...

Au hujawaona akina lowasa na chenge na rostam azizi mbona wametoka hapa Tz lakn unafikir wangekuwa china wangekuwa wapi?
 
mkuu nitake radhi sijawadis wazaz wangu ila ungeiona picha ungeweza hata kutoa mchozi, pambanua akili yako sio kila ukionacho au ukisikiacho ndivyo kilivyo,,,,
Samahani, nilikuelewa vibaya maana picha siioni.
 
Ukitaka kujua ujinga wa wengi wetu waulize makarani wa BVR. Ni aibu tupu
 
Ukitaka kujua ujinga wa wengi wetu waulize makarani wa BVR. Ni aibu tupu

mkuu makaran wana nn? Maana kwa jins folen ilivyo nina uhakika sitajiandikisha
 
Wala tatizo sio Tanzania wala Mungu. Tatizo ni wewe na waliokuzaaa, na wale uliokua naoz na wale ulioishi nao na unaoishi nao sasa
 
Wala tatizo sio Tanzania wala Mungu. Tatizo ni wewe na waliokuzaaa, na wale uliokua naoz na wale ulioishi nao na unaoishi nao sasa

nauona ubongo wako mwepesiii kama bao la mtu anayepiga nyeto kila siku
 
Back
Top Bottom