Najuta kuufahamu mchepuko huu

Najuta kuufahamu mchepuko huu

nitonye

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
7,349
Reaction score
3,904
Weekend hii kidogo nilichepuka ingawa sio kawaida yangu maana mamsapu kidogo hakuwa vizuri hasa kimwili. Basi huku huku nikamsalandia binti mmoja hivi mtaa wa pili naye bila hiyana akawa amekubali, tukakutana maeneo flani hivi ya kugewa tunda la kati hapo ndipo mambo yalipo chafuka.

Mwanaume nikaanza kujaza tairi upepo kupiga pampu kama tano hivi nikaanza kusikia harufu flani isiyo ya kawaida. Nikaanza kufoka mwenyewe yaani hawa jamaa wanaacha karo linajaa namna ile mpaka linatoa harufu mpaka inakuwa kero kwa wateja.

Kumbe bila kujua nilishahamishwa kitambo badala ya kujaza upepo kwenye tairi nimepewa kazi ya kuzibua karo wala hata gloves sijavaa. Ubaya tairi nilikuwa nalijaza upside down yeye akiwa ndiye dereva.

Tuwe makini namichepuko itatuuwa jamani
 
Hahahaha dah humu kuna misemo ya kila aina ili kukwepesha ukweli.
 
Pole zako mjinga ww kuna tofauti sn kat ya mbele na nyuma
 
Ha ha ha #nitonye umesababisha nicheke kwa sauti mbele ya watu. Kwa yaliyo kukuta na misemo uliyotumia mmmmh. pole ndio uache hizo mambo.
 
Yani sikuizi hakuna akiba ya uzeeni kabisaaaaaaaaaa unaemsikia kapewa wasichana wengine wanazigawa Tigo kama pipi mpaka kichefuchefu..
 
utageuka chemba la kumwagia taka shaurilo....
 
One mistake, one goal........................daah, imagine 1 minute can destroy your whole life..................daah,
imenisikitisha the way your cheap.....................cheap is expensive.
 
tigo ndio habari ya mujini sasa........tena mabinti wenyewe wanazitoa bila shuruti....
 
laplusbelle15;Jamani nyie Wanaume! Mke kuumwa kidogo tuu tayar ticket ya kuchepuka

Tena mkewe kajazia! source;nitonye
 
Pole zako mjinga ww kuna tofauti sn kat ya mbele na nyuma

Hivi wewe wewe hujui mchezo wa kinda nkoi nini, ile inaitwa kujikwaa bila kujua kama vile mcheza kiduku
 
Back
Top Bottom