Unaweza ku unlock iphone toka Marekani?kwa ufundi wangu wa mtaan akija wa veta lazima nimkalishe anifikii kabisa,
Naipenda kazi yangu ya ufund wa simu .
[emoji16][emoji16][emoji16]Kabla sijaenda niliomba ushauri kwanza wengine wakaniambia niende maana mafundi wa mtaani wengi ni wachoyo kukupa siri zote za kazi, na wengine wakaniambia nisiende maana hiyo pesa ya ada robo tu unapata fundi anakufundisha vizuri tu, lakini nikaona ni bora tu niende veta ila nilichokikuta huko ndugu yangu sikushauri na wewe uende,
Nilienda kusomea ufundi simu hardwire na softwire lakini mpaka namaliza sijui hata kutoa port ya kuchajishia simu, nimekuja kujifunzia huku mtaani na nimejua
Kule ni kwenda tu kujua majina ya component na matatizo ya simu
Ni veta za serikali lakini
Ni kweli kajifunza ndiyo maana kasema kule ni sehemu ya kuwaibia wananchi pesa tu, kama una mwanao anataka kuwa fundi bora umpekele mtaani kule ana Kutana na magonjwa ya moja kwa moja bila kuonyeshwa kwenye pichaPole kijana, hujatoka bure huko veta kuna maisha umejifunza.
Hivyo ndivyo digirii nyingi zilivyo pia nchini "Tanzania".
Kwamba mwanafunzi wa diploma hiyo course akiingia UE ya hiyo Course mambo fresh?Elimu ya bongo kikubwa kupata cheti..just imagine unasoma diploma ya hydogeology ila ukienda kuchukua bachelor husomi kipya yaleyale unayarudia