Ignas lyamuya
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 777
- 858
Asante mkuu kwa hekima zako . Kuhusu hilo nimeshamuambia ni wapi naenda ndivyo sivyo? Tizama maswali ambayo namuuliza kila Mara
1. Nakuridhisha kimapenzi? Anasema ndio . Hamna shida
2. Sijali familia. Anasema najali sana tena nina huruma
3. Kitu ambacho anahitaji nikae nae mda woote nisiende kutafuta . Anasema nazunguka saaaana . Yeye hana kazi. Nadhani hapo ndo shida ilipo lakini najitahd wikiend yoote nakaa na family na kuicare . Lakini mabadiliko siyaoni hata kdg
Mkuu sasa mke wake akirudisha heshima kamchepuko atakako kuwa ametafuta akafanyeje? Akotose? Wakati kamemfuta chozi mke alipozingua.MADHALI UMEMBMBELEZA HATAKI BASI WW USIMUAMBIE KITU KUANZIA SASA, NA WW JIFANYE HUJALI, MSHUGHULIKIE MTOTO WAKO TU NA UMPE HELA YA MATUMIZI TU, JIFANYE KIVYAKO, ALAF TAFUTA KAMCHEPUKO PEMBENI MKAPIME AFYA MUANZE MAHUSIANO, ATA KIKAWA KASURA HAKIPO POA MPIGE PUMBU KISASAWA UMPAGAWISHE NA WW UPAGAWE HASAA, UONE KAMA HUYO MKE WAKO HESHIMA HAITORUDI NA KUANZA KUKUPENDA KWA KASI YA 5G
anza kumla t*goTupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA
Analala na jinsi suruali
Ananifokea kama katoto
Nikimshika kiuno anajidai anaumwa
Nikimletea vitu vidogo dogo hashukuru
Akishtuka usiku akikuta shuka limenitoka wala hajali
Nikimkaripia anakuja juu
Maneno yamekuwa mengi Sana
Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara
Ana ujasiri usio kuwa makini hata aweza kunifungia nje endapo nmechelewa usiku aidha kutafuta au kucheki mpira
Napoandika hii nimelala mzungu wa nne
Tuna mtoto wa kike wa kwanza,ndo anamjali tu.
Ni kanda maalum
Mtoto japo ni mdogo ila ndo ananipa moyo
Moyo wangu umejaa machozi hayatoki nje.
WAKUU WANGU
Nitumie mbinu gani kuishi na mtu kama huyu . Nikimuuliza mbona huna shukrn anasema anashukurugi kimoyo !!
mpe likizo ya miezi sita akili imkae sawa kwanzaTupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA
Analala na jinsi suruali
Ananifokea kama katoto
Nikimshika kiuno anajidai anaumwa
Nikimletea vitu vidogo dogo hashukuru
Akishtuka usiku akikuta shuka limenitoka wala hajali
Nikimkaripia anakuja juu
Maneno yamekuwa mengi Sana
Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara
Ana ujasiri usio kuwa makini hata aweza kunifungia nje endapo nmechelewa usiku aidha kutafuta au kucheki mpira
Napoandika hii nimelala mzungu wa nne
Tuna mtoto wa kike wa kwanza,ndo anamjali tu.
Ni kanda maalum
Mtoto japo ni mdogo ila ndo ananipa moyo
Moyo wangu umejaa machozi hayatoki nje.
WAKUU WANGU
Nitumie mbinu gani kuishi na mtu kama huyu . Nikimuuliza mbona huna shukrn anasema anashukurugi kimoyo !!
Achana nae lea mtoto wako tu yeye piga chini kuoa haimaanishi kua umejipeleka gerezani
Bora ajieke pembeni mapemaAchana nae lea mtoto wako tu yeye piga chini kuoa haimaanishi kua umejipeleka gerezani
😅 😅 😅 hilo la wapi leo baba mkuu, la chooni. au! tangu lini akaandaa maombi huyu kijana?Katafute mazezeta siku ya jumamosi kwenye maombi aliyoandaa @BASHITE ndio uwape hiyo story yako.
😅 😅 😅 hilo la wapi leo baba mkuu, la chooni. au! tangu lini akaandaa maombi huyu kijana?Katafute mazezeta siku ya jumamosi kwenye maombi aliyoandaa @BASHITE ndio uwape hiyo story yako.
Anaringa wakati nina mlipa mshahara wa kuwa Nyumbani kwangu, hata kuzalia kwangu ana lipwa! nimpe maisha yangu anipikie! nile! nioge! nilale nikorome! kwanza simuamini mpaka hapo!JF kuna mambo.
Eti mke anakuletea matukio.
Ingekua mimi angekua ananiona nikija kubadili nguo asubuhi.
Kama ndani ya wiki hajabadilika. Nabadili mwingine.
Watu wanabadilisha timu kutoka upenzi na Simba kuja Yanga. Wewe mwanamke anakuringia????
Mwanamke???? Siamini
Umeamua kuuzibua mada zote hizi...Ili ujipe moyo kuwa...maamuzi yako yakutokuaa...Ni sahihiHuyu ananikatisha tamaa
Nadhani title ya thread hii ingekuwa "NAJUTA KUOLEWA"Tupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA
Analala na jinsi suruali
Ananifokea kama katoto
Nikimshika kiuno anajidai anaumwa
Nikimletea vitu vidogo dogo hashukuru
Akishtuka usiku akikuta shuka limenitoka wala hajali
Nikimkaripia anakuja juu
Maneno yamekuwa mengi Sana
Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara
Ana ujasiri usio kuwa makini hata aweza kunifungia nje endapo nmechelewa usiku aidha kutafuta au kucheki mpira
Napoandika hii nimelala mzungu wa nne
Tuna mtoto wa kike wa kwanza,ndo anamjali tu.
Ni kanda maalum
Mtoto japo ni mdogo ila ndo ananipa moyo
Moyo wangu umejaa machozi hayatoki nje.
WAKUU WANGU
Nitumie mbinu gani kuishi na mtu kama huyu . Nikimuuliza mbona huna shukrn anasema anashukurugi kimoyo !!
Mpe zawadi kimoyomoyo Mkuu lazima atakuuliza kwanini huleti zawadi.... Mwambie nimekupa kimoyomoyoTupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA
Analala na jinsi suruali
Ananifokea kama katoto
Nikimshika kiuno anajidai anaumwa
Nikimletea vitu vidogo dogo hashukuru
Akishtuka usiku akikuta shuka limenitoka wala hajali
Nikimkaripia anakuja juu
Maneno yamekuwa mengi Sana
Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara
Ana ujasiri usio kuwa makini hata aweza kunifungia nje endapo nmechelewa usiku aidha kutafuta au kucheki mpira
Napoandika hii nimelala mzungu wa nne
Tuna mtoto wa kike wa kwanza,ndo anamjali tu.
Ni kanda maalum
Mtoto japo ni mdogo ila ndo ananipa moyo
Moyo wangu umejaa machozi hayatoki nje.
WAKUU WANGU
Nitumie mbinu gani kuishi na mtu kama huyu . Nikimuuliza mbona huna shukrn anasema anashukurugi kimoyo !!
Mleta mada pambana na hali yako!! Mke mwema hutoka kwa bwana.Nadhani title ya thread hii ingekuwa "NAJUTA KUOLEWA"
Hayo maelezo yote ni ya mtu aliyeolewa na sio kuoa...