Najuta kuoa

Hakuna kitu kitamu km kushukuru huku duniani.. kushukuriwa kwa jambo zuri ulilotenda ni hisia za kipekee za kutamani kutoa zaidi.
 
HAUKO TAYARI KUVUMILIA UDHAIFU WAKO MWENYEWE. KUTOKUWA TAYARI KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA MAISHA YA MAHUSIANO NI UDHAIFU BINAFSI NA SI WA UPANDE WA PILI.
Mahusiano yana kanuni zake kulingana na jinsi wahusika walivyokubaliana, mtu mmoja wapo akivunja kanuni hiyo siyo changamoto ya kufanya uvumilie eti kisa ni changamoto bali ni uhalifu unaostahili adhabu. Kukumbatia uhalifu kwa kuupaka rangi ya changamoto ni udhaifu……I will cry neither for a woman nor because of a woman.
 
Mwanamke kama huyo nilikuwa nae miaka mitatu iliyopita.

Nilivyokuja kumbadilikia hadi akawa ananishangaa mbona nimekuwa tofauti sana.
 
Tafuta pumziko la moyo lingine
 
Hayo mambo ndiyo yanawatumbukiza watu kwenye michepuko kama siyo kuwa na mitala.

Mwenza huwa siyo sura, fedha wala nini !!. Mwenza ni akili na moyo safi. Anakokufikisha huyo kila moja atashika njia yake. Bado kidogo tu
Yaani ni shida...NA WANGU ASHUKURU TU KWA ALLAH...MIMI NAMUOGOPA ALLAH NA NAMCHA ALLAH...LAITI...NINGEPITA NA RAFIKI YAKE MMOJA HIVI...HUYO HUYO NINGEPITA NAE...ALAFU ASINIULIZE...alafu angeleta fyokofyoko...ni nyumbani kwenu...kama kumekushinda...
 
Mtie makofi unalialia nin,hyo kanda maalumu mpaka ngumi ndo itakuuelewa lacvyo siku utapiga deki
 
konki
 
Hayo mambo ndiyo yanawatumbukiza watu kwenye michepuko kama siyo kuwa na mitala.

Mwenza huwa siyo sura, fedha wala nini !!. Mwenza ni akili na moyo safi. Anakokufikisha huyo kila moja atashika njia yake. Bado kidogo tu
Dawa yake huyu anza kufanya vitu vinavyokupa furaha wew ata kama kamchepuko kuwa nacho kwa siri sana usimfuatilie wala usimpe zawad zaid ya matumizi ya kawaida aone hujali tena wala usimuombe kamchezo laaalek akili itamkaa sawa ataanza kukuuliza wew tatizo nin
 
Write your reply...nahic umeniandikia mm thread. hiyo. ndo hali halis ya ndoa yng natafta namna tu nimwache
 
Hivo creatures/ viumbe ni undefined. Hapo kuna jamaa ndo anamtia kichwa na tu kwa sababu yupo kwako ukisena umwache jamaa atamkimbia na atarudi kichwa chini mithiri ya Ringo
 

Shangaa nawe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…