Najuta kuoa mwanamke mlokole

Wee nae ebu acha kulialia....maisha umeyatakia mwenyewe....ur not a man enough! A real man would never hurt his wife or any other woman, but rather find a way to solve their quarrels.
I feel sorry for her for choosing such a wrong person.
 
Teh teh teh huyo mchungaji kiboko, salary slip ya kazi gani sasa? Au kuna percentage ya mshahara anakata kwa kila muumin kwa ajili ya sadaka. Hata mimi ningelihama hilo kanisa
 
Update ikoje mkubwa

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana...watu kwenye makanisa ya kiroho huwa nawashangaa
 
Kaa nae mzungumze mpe msimamo utaacha wangapi mambo ya imani magumu wale viongozi wanateka ufahamu mpe nafasi
 
Hapana bro. Kwanza nakupa hongera maana ndio unakuwa na kuona jinsi wanawake walivyo. Muhimu sana ni kuwa na misimamo. Kingine, nakupongeza ni kwamba unajua unachotaka.
Nakushauri mrudie mkeo. Mpe ratiba wewe. Hutapata adhadli popote just a different toilet
 
Nimecheeeka...mtoto anaachishwa ziwa ..ili ukashinde na mchungaji...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Kuna mchungaji alishawai Seema...Yesu hawezi kukupa anachokupa mume...
 
Kaa nae mzungumze mpe msimamo utaacha wangapi mambo yaimani magumu wale viongozi wanateka ufahamu mpe nafasi
Usichukulie simple hili suala bro. Hawa wannaojiita Bishop so and so, Mtume na Nabii so and so, Prophet so and so, wakishamshikia akili mtu ni ngumu sana kujinasua. Unahitajii muujiza wa Mungu kumuondoa huko. Nami siungi mkono suala la kuvunja ndoa, kikubwa jamaa amhamishe dhehebu tu mkewe, na liwe ni sharti mojawapo la kumrejesha. Kuna madhehebu mengi tu ya walokole ambao hawajashikiwa akili, ambao bado wanajitambua na maisha yanaendelea kama jamii zingine.
 
Tupe mrejesho
 
Mzeee umempa fact huyu, jamaaa ni muhuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…