Najuta kuoa mwanamke mlokole

Uliumbwa kwa mfano Wa Mungu, wanawake wakifanywa2 so your decision I think will be right( kaz ya Mungu haina makosa)!
 
sasa mungu kamchaguaje au mchungaji alionge nae akasema yule ndo chaguo.hahahahahahahahaah mchungaji kamzimia mkeo
Ha ha ha apana mbona namruhusu mikesha, tatizo unakuta maombi ya kufunga bila taarifa na wewe unatka kula mzigo anakuambia amefunga 7 days !!! Wewe unaweza ?
 
Ha ha ha apana mbona namruhusu mikesha, tatizo unakuta maombi ya kufunga bila taarifa na wewe unatka kula mzigo anakuambia amefunga 7 days !!! Wewe unaweza ?
weeeeee siku saba bila kula au ni ule mfungo wa masaa 12
 
Yaani huyo bro mambo ya chumbani hajaeleza hapo. Bora akamwone huyo mch au ampe likizo miezi 3 mpaka 6.
 

Pole sana kwa mkasa huo. Kama ni kushauri mimi naona bora Msamehe mkeo na mrudiane maadam amesema muongee na kuona namna ya kuweka mambo sawa, lakini kumuacha haitakaa kuwa suluhisho katika maswala yako ya ndoa. Kuwa mwanaume ni zaidi ya kuoa na kuacha na ndio maana tunaaswa hata na maandiko kuishi nao kwa akili sana kuna Muda inabidi ubebe madhaifu yake hata kama itakuumiza ndio uanamme huo ndugu.kwa kuwa kakufata na kukutaka msamaha sasa huu ndio wakati wa kukaa chini na kuongea na kumpa maono yako jinsi unavyotaka tena iwe ni kwa kujadiliana pamoja na sio wewe kutoa maamuzi tu. Kumbuka hata huyo unayemsema kurudiana naye pia anayo mapungufu yake tena utakuta ni makubwa kuliko ya mkeo na kama Hana hofu ya Mungu ndani yake tegemea kukulipa kisasi kwa ulivyo muacha: ndio baadhi ya akili za wanawake zilivyo Mkuu ni bora ukarudiana na mkeo
 
vitu vinavyo rudisha nyuma sana maendeleo ni dini siasa na mapenzi. nashauri watu wasome bible knowledge wajue misingi ya dini wajue jinsi ya kuabudu na kujibiwa maana naona watu wana jitesa na nja na sio kufunga
 
hawa ndo wanarudisha mambo nyuma sasa wewe una leta mambo ya dini na huruma wakati umesoma kuwa alikuja na dada yake akapata kipigo
 
Timua huyo akaoane na mlokole mwenzake wakafanya pamoja morning glory kanisani, wakati wake wangine wanafanya morning glory na waume zao kitandani...
 
But inawezekana naje mlokole aolewe na mtu ambaye sio mlokole, nijuavyo mm huwa hawakubali unless na wewe ni mlokole au ulimuoa kabla hajaokoka
 
Tatizo ulikosea kuchagua uyo Mke alipaswa kuolewa na Mzee Wa kanisa.
 
hawa wachungaji huwa siwaamini kabisa kwanza wanapenda sana wake za watu na wanatongoza vizuri kweli mke wa mtu hakataii
 
But inawezekana naje mlokole aolewe na mtu ambaye sio mlokole, nijuavyo mm huwa hawakubali unless na wewe ni mlokole au ulimuoa kabla hajaokoka
Mkuu rudia tena kusoma kuna mistari kasema na yeye alikuwa katka hilo kanisa ila baadae akaacha
 
Sio vizuri kuwalaumu watumishi wa Mungu maana haya ni maelezo ya upande mmoja, hatujamsikia mke wako naye akijieleza.

Lakini mwisho wa siku binti aliyeokoka kweli kweli ni mwanamke bora wa kuoa.

Kwani kuokoka kutamfanya kuwa mtii kwa mme wake,

Lakini wewe inaonekana ni kahaba wa kiume mwenye hadi wanawake wa akiba ktk mazingira hayo mlokole mtashindana tu usikute ameshakuona ktk ulimwengu wa Roho ukijirusha na hao wanawake zako wa akiba alipokuambia ukaja juu.
 
Maamuzi mazuri Mkuu ila kama unatudanganyaa kumbe umerudiana utakuwa kivuruge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…