Najuta kuoa mwanamke mlokole

Nimemkumbuka Mchungaji Gwajima na Flora mbasha na ile kashfa yao yaani Mungu asaidie tu kama ni kweli.
 
Pole sana mkuu....MPE nafasi nyingine vizur akir makosa kwanza
 
Pole sana mkuu....MPE nafasi nyingine vizur akir makosa kwanza
 
Pole sana kiongozi,mkeo anasali kwa mchungaji gani?maana na mimi ninaushuhuda wa mtu kuharibu ndoa yake kwa ajili ya kanisa la mchungaji mjasiriaroho mmoja hivi hapa dar
 
Uliposema umempiga nimeondoa ushauri wangu kwako we ni mpumbavu mkuu !!!mapungufu yake hayo kwa mujibu wako yanajadilika sana na inaonekana hujapitia challenge kubwa kiasi cha kuona hiyo ni changamoto
 
pole sana kaka.wanawake ni watu wa kuishi nao kwa akili sana.ulikosea mwanzo kumjenga mke wako kimisimamo na kumbadilisha.ndo hapo tatizo umelipata kuona misimamo haipo
 
Mimi nshasema sintakaa nisali haya makanisa ya mtu binafsi yapo nitaendelea kubaki Lutheran na naendelea kuuona ukuu wa Mungu kwa imani, mwanamke wa namna hiyo sio wa kumpiga maana sio akili yake ila bora tu hujamuuwa maana ungeozea jela mkuu.
 
Rachel ndiyo wamkumbuka sahizi baada ya kuingia chaka, Rachel kashampata aliyejua dhamani yake
 
Duuu hizi nyumba zinaficha mengi[emoji72] [emoji72]
 
Sasa mkuu ukisikia kanisani wanavyokuita eti utakuwa na mapepo ndo hayapendi aende kanisani[emoji38],hlf km sio gwajinga huyo sijuiiii
 
Ww bila shaka muumini wa gwajinga
 
karismatik na walokole hawana tofauti wanaendana tu
 
Umeongea kwa hisia mkuu
Na usishangae hata huyo mtoto ni wa mchungaji
 
Pole sana ndugu,labda mmi nikuambie tu kama amekubali kurudi na kuyapanga upya wewe usikatae ila muyazungumze kwanza na isiwe nyumbani bali iwe nje kisha mkisha elewana huna budi kumkaribisha ktk mwendelezo wa maisha yenu.Tambua kuwa hayo makanisa yanawaosha kabisa fikra hao waumini wao so unaitaji nguvu ya ziada kumrudisha ktk akili za kawaida, ndoa nyingi zimevunjika na kuingia ktk hali ya umaskini kutokana na makanisa ya namna hio.
 
Mleta mada aje hapa sasa aje atuambie kilichoendelea, maana naona ni miaka miwili sasa imepita.
 
Salary slip? Wanaangalia basic salary, kumbe Mimi afadhari nikomae na wakwangu naoana tunaelewana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…