Si kila muda mna discuss maendeleo tu, mtakua maroboti sasa... Kuna muda mnajiachia na mastory ya miaka hiyooo whether kwa kukumbushiana through picha za zamani au hata story tu.. Sasa katika story hizo ndo anaamua kufunguka kitu ambacho hata hukuwazia ndo maumivu nayoyahisi hapabadala mkae ndani muwaze maendeleo mnakaa kudiscuss uzinzi mliofanya zamani
Uyu na mke wake wote akili zao zinafanana hamna Wa kumsaidia mwenzakebadala mkae ndani muwaze maendeleo mnakaa kudiscuss uzinzi mliofanya zamani
sasa wewe ukijua waliomgonga mkeo zamani inakusaidia nini, we ushakuwa mgongaji wa kudumu unakaa unawaza shit, wangekuwa wanakugongea mkeo mida hii tungekuelewa lalamiko lako, sasa achana nae aolewe na wanaoelewa, ubaki unagegeda kisela wanawake wengine.Mwananume mwenzetu uache kuuliza maswaali ya ki puuzi, sasa kama utaendelea na maswali hayo muulize yupi ukiwepo na wewe nani alimkuna zaidi, atakujibu wewe tinhihin, then kaa akisau muulize idadi ya mabao mengi aliyawahi kupigwa kwa mara moja, akisema saba na wewe huwa unaishia mbili utajua nani alimgonga vizuri hahahahaSi kila muda mna discuss maendeleo tu, mtakua maroboti sasa... Kuna muda mnajiachia na mastory ya miaka hiyooo whether kwa kukumbushiana through picha za zamani au hata story tu.. Sasa katika story hizo ndo anaamua kufunguka kitu ambacho hata hukuwazia ndo maumivu nayoyahisi hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahaha kabla hatujaanza uhusiano miaka hiyo tukiwa marafiki tu alinitajia list ya aliodate nao na waliomgegeda ila huyo mmoja hakumtaja ndo kamtaja jana, itakua ana sababu zake whether ndo alimkuna vizuri yote yanawezekana tuMnafukua makaburi ya nini? Mtu hujamkuta bikira unaanza kumuhoji aliodate nao unadhani atakuambia ukweli?
Ukioa anza maisha mapya achana na mambo ya zamani. Tena hapo umemkumbusha ma-ex wake waliomkuna vizuri lazima awatafute
Hiyo kitu sijawahi fanya na wala sitakaa nimwambie maana tangu awali nilimdanganya, yeye anajua niliwahi kulala na wanawake 5 ila uhalisia ni zaidi ya 30 so ni kitu ambacho hapaswi kujua hiyo idadi ila bora asingeniambia maana mie niliuliza tu aliwahi kumkisi? Ye akasema kabisa na kugegedwa kitu ambacho sikuwaza kabisaNa wewe ungemuhadithia jinsi ulivokua unapiga game kwa wasichana zako Wa nyuma ngoma droo
Duh haya! Acheni kuulizana hayo mambo kama hakuna sababu ya kuuliza. Na wewe ulimpa list ya ukweli?Hahahahahahaha kabla hatujaanza uhusiano miaka hiyo tukiwa marafiki tu alinitajia list ya aliodate nao na waliomgegeda ila huyo mmoja hakumtaja ndo kamtaja jana, itakua ana sababu zake whether ndo alimkuna vizuri yote yanawezekana tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongeza idadi hata mm nilishamula.wallahHabari za leo wana-JF wenzangu, kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojielezea.
Mwaka jana niliwahi kuomba ushauri baada ya kufuma message nyingi kwenye Facebook account ya mke wangu, nikajipiga moyo konde tukaweka sawa maisha yakasogea. Tatizo limeibuka jana, kabla hatujaoana mwanamke huyu aliwahi kunitajia idadi ya watu alio-date nao kua ni 16 ila waliomgegeda ni 3 sasa jana sijui story zilianzia wapi bwana nikamtega tu hivi flani ktk ile list yako zamani aliwahi kukukisi.
Mweeeeh nikashangaa mtu kainamisha kichwa chini kwa huzuni huku akisema sikutaka kukuambia mume wangu, mwanaume nikajipiga kifua na kumwambia aseme tu. Si ndo akaanza nisimulia kua jamaa alimla bwana, jicho likanitoka. Acha kabisa kusikia taarifa za mkeo alivyoliwa halafu alikuficha ni kama msiba mkubwa.
Kwahiyo wapo 4, akawa analia sana nikampooza ili nijue kama wapo wengine waligegeda akaapa Miungu yote kua ni hao tu hakuna mwingine kabisa. Tangu jana najuta kukurupuka kuoa mapema, bora ningebaki bachela tu niwe nagegeda kistaarabu kisha najisepa, hapa kichwa kinaniuma sina la kusema
Kweli ukimchunguza sana bata humli, ndoa ina majaribu mengi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32] 40??? Duuuh, okay kuanzia jana nimejifunza kutouliza lolote linalohusu past yake whether zuri au bayaPast stays where it belongs, in short those four x 10 that is the exact number.