Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,904
- 172,784
Ugonjwa umekaa pabaya sana jamani
Wakati niko chuo nilikutana na mzee mmoja zaidi ya miaka 80. Nikamuuliza swali hiv ukimwi utaisha kweli? Alinipa jibu kama lako. Hauwezi isha. Umekaa pabaya sanaUgonjwa umekaa pabaya sana jamani
Mungu nikupe nini? Majuzi mwenzenu nilikuwa sehemu moja hospitalini. Nilimuona mdada mrembo kishenzi. Uzalendo ulinishinda nikaamua kuimbisha,na mambo yakaenda sawa. Ila kumuuliza kilichomleta kasema amemleta mgonjwa. Jioni hiyo simu zikafanya kazi weeee. Kesho yake narudi kwenye kazi zangu,mdada huyo. Anadai amemrudisha mgonjwa. Baada kama ya masaa 2,huyo kwenye chumba cha kutolea ARV. Napeleka vifaa vilivyotengenezwa,namkuta anapewa dawa na kuulizwa kama ruksa kutembelewa kwa ajiri ya kuwashauli anaoishi nao. Ila,kwa hali ile hata kavu ningemchapa tu.
Jamani,jiangalieni sana najua mpo wa staili hii