Najua wengi limewakuta,ila jipongezeni

Najua wengi limewakuta,ila jipongezeni

Kweli alikuwa bonge la mrembo jamanii[emoji22]
Screenshot_2018-09-16-23-34-52.jpg
 
Kwaio ukaona na wewe ujigeuze mdads kwa kuweka picha ya msichana wakati ni jinsia tofauti?
 
Nakumbuka mbali. Dada m1 mrembo kweli kweli. Alikuwa mwathirika. Shababi mmoja akasema hawezi kukubali yule mrembo ampite hivi hivi. Siku ya siku yule mkaka akarud akiwa anapeperusha bendera ya ushindi. Kuulizwa kulikoni, anasema keshampitia yule mrembo. Akajitapa kweli kweli kuwa yeye ni komando kwa tendo la kishujaa alilolifanya. Watu wakabaki midomo wazi. Wengine wakamsikitikia, wengine wakacheka (including me).
hata nijitie mwamba vipi..siendi bilakinga kwa mtu tu from nowhere.....huwezi jua sio unajitapa we shujaa kumbe umevamia chaka kisa urembo...kuna urembo wa aina nyingi aisee ila kuna vya kuangalia zaid ya urembo take care kabisa.....jamaa sijui ilikuwaje sasa alivojua
 
Sema tu kale kamsemo ka kwamba siku ya kufa nyani miti yote huteleza. Hakuna asiyeogopa ile kitu,ila sielewi kwa nini unapolengeshwa akili zinahama kabisa na kusahau. Kuna bro mmoja alidandia kabinti hivo hivo,bahati nzuri kakamwambia mi tayari moto ulishawaka. Jama akadai ni mbinu za kumnyima mzigo akang'ang'ana akala. Demu kufika kwao nasikia kamtumia ujumbe kwamba uende hospital ukapewe dawa mi muathirika. Nimekuonya ukanikatalia ila wahi. Jama akabisha kama kawaida yake. Mwezi mmoja kaamua kwenda akakuta tayari anao. Sasa kaanza kulia lia kama mtoto huku onyo alishapata. Simcheki lakini ukishindana na nafsi yako,jua tu umekwisha
 
Sema tu kale kamsemo ka kwamba siku ya kufa nyani miti yote huteleza. Hakuna asiyeogopa ile kitu,ila sielewi kwa nini unapolengeshwa akili zinahama kabisa na kusahau. Kuna bro mmoja alidandia kabinti hivo hivo,bahati nzuri kakamwambia mi tayari moto ulishawaka. Jama akadai ni mbinu za kumnyima mzigo akang'ang'ana akala. Demu kufika kwao nasikia kamtumia ujumbe kwamba uende hospital ukapewe dawa mi muathirika. Nimekuonya ukanikatalia ila wahi. Jama akabisha kama kawaida yake. Mwezi mmoja kaamua kwenda akakuta tayari anao. Sasa kaanza kulia lia kama mtoto huku onyo alishapata. Simcheki lakini ukishindana na nafsi yako,jua tu umekwisha
Kwaio ukaona na wewe ujigeuze mdads kwa kuweka picha ya msichana wakati ni jinsia tofauti?
We ujumbe unautoa kwenye picha? Au unasoma kilichoandikwa! Nadhani sura haina uwiano na topic
 
Sema tu kale kamsemo ka kwamba siku ya kufa nyani miti yote huteleza. Hakuna asiyeogopa ile kitu,ila sielewi kwa nini unapolengeshwa akili zinahama kabisa na kusahau. Kuna bro mmoja alidandia kabinti hivo hivo,bahati nzuri kakamwambia mi tayari moto ulishawaka. Jama akadai ni mbinu za kumnyima mzigo akang'ang'ana akala. Demu kufika kwao nasikia kamtumia ujumbe kwamba uende hospital ukapewe dawa mi muathirika. Nimekuonya ukanikatalia ila wahi. Jama akabisha kama kawaida yake. Mwezi mmoja kaamua kwenda akakuta tayari anao. Sasa kaanza kulia lia kama mtoto huku onyo alishapata. Simcheki lakini ukishindana na nafsi yako,jua tu umekwisha

we dada ndo wewe katika hii mada ama bongo movie. Maana avatar yako ndo fonti peji ya mada.
 
Sema tu kale kamsemo ka kwamba siku ya kufa nyani miti yote huteleza. Hakuna asiyeogopa ile kitu,ila sielewi kwa nini unapolengeshwa akili zinahama kabisa na kusahau. Kuna bro mmoja alidandia kabinti hivo hivo,bahati nzuri kakamwambia mi tayari moto ulishawaka. Jama akadai ni mbinu za kumnyima mzigo akang'ang'ana akala. Demu kufika kwao nasikia kamtumia ujumbe kwamba uende hospital ukapewe dawa mi muathirika. Nimekuonya ukanikatalia ila wahi. Jama akabisha kama kawaida yake. Mwezi mmoja kaamua kwenda akakuta tayari anao. Sasa kaanza kulia lia kama mtoto huku onyo alishapata. Simcheki lakini ukishindana na nafsi yako,jua tu umekwisha

We ujumbe unautoa kwenye picha? Au unasoma kilichoandikwa! Nadhani sura haina uwiano na topic

Usitupoteze wakati, kwa kutunga stoty na kuweka vitu uvitakavyo. unatumia Id mbili katika same thread na kuji reply.
nimekupa tusi la moyoni.
 
Sio lazima wote tuwe na akili moja
 
Laiti kama tungekuwa tunatembelea maeneo wanakochukua ARV wakuu tungeacha ZINAA.Ile sehemu inatisha mno wakuu
Ukiangalia mademu wanakuja kuchukua dawa. Unaeza shika kichwa ukalia. Wazur na bado wako intact. lakin ndio hivyo wanamoto
 
MKUU KWA HILO WENGI TUTAISHA NAKUAMBIA
NA WANAUME TUSIVYOKUWA NA SUBRA WALAHI SIJUI NANI ATAKUWA MKOMBOZI WETU KUTUSHITUA
Mm nina ndugu ni daktar huwa naenda kumtembelea. Amanionyesha visu mkuu. Kama ulikiwa huendi church unaanza kwenda mwenyewe maana hali ilivyo c nzuri kabisa.
 
Usitupoteze wakati, kwa kutunga stoty na kuweka vitu uvitakavyo. unatumia Id mbili katika same thread na kuji reply.
nimekupa tusi la moyoni.
Hizo ID mbili ni zipi mkuu? Poa,hizo story za kutungwa achana naxo. Tusi lako nimepokea
 
Back
Top Bottom