najua unajua lakini jua zaidi

najua unajua lakini jua zaidi

Mkuu figaniga somo la kiswahili ulipata alama gani vile? Kuna tofauti kati ya L na R naomba ulifanie kazi hili

Na wewe ulipata alama gani,? ni ulifanyie sio ulifanie!
 
makosa ya kisarufi tu hayabadilishi mantiki! mia
Hakika nilitaka kuandika hivyo hivyo! Angekuwa ametumia majina yake halisi tungejua ametoa eneo lipi la tz. Lakini still we can guess... lol!
 
Unajua kwamba,
ukimya uliokuwepo usiku wa manane huweza kukufanya usikie mlio wa bawa la mbu linapokudondokea shavuni mwako?


NAJUA HUJUI,ILA WATAKA KUJUA ZAIDI,JUA SASA.
 
Back
Top Bottom