figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
habari ndo hiyoNaliskia leo sijawahi kushtukia
Mia. Mia. Mia!kariakoo ndo sehemu maalufu sana dar es salaam na tanzania kwa ujumla. k/koo ndo kuna soki kuu dar es salaam na tanzania kwa ujumla. K/koo ndo centre ya biashara kwa Tanzania. Na umarufu wote wa k/koo lakini mtaa wa k/koo unao anzia kwenye makao makuu ya ccm Tanzania karibu kabisa na sehemu ilipo zaliwa Tanu pale Rumumba na kutokezea barabara ya msimbazi. Huu mtaa wa k/koo hauna rami wala kokoto, ni barabara ya vumbi iliyo jaa mashimo na uchafu wa kila aina. je walijua hilo?. Mia
kariakoo ndo sehemu maalufu sana dar es salaam na tanzania kwa ujumla. k/koo ndo kuna soki kuu dar es salaam na tanzania kwa ujumla. K/koo ndo centre ya biashara kwa Tanzania. Na umarufu wote wa k/koo lakini mtaa wa k/koo unao anzia kwenye makao makuu ya ccm Tanzania karibu kabisa na sehemu ilipo zaliwa Tanu pale Rumumba na kutokezea barabara ya msimbazi. Huu mtaa wa k/koo hauna rami wala kokoto, ni barabara ya vumbi iliyo jaa mashimo na uchafu wa kila aina. je walijua hilo?. Mia
Ukitaja magamba mood ya kuchangia inakwisha SICHANGIIIIII
Huyu atakuwa ni Mkurya....Mkuu figaniga somo la kiswahili ulipata alama gani vile? Kuna tofauti kati ya L na R naomba ulifanie kazi hili
kariakoo ndo sehemu maarufu sana dar es salaam na tanzania kwa ujumla. k/koo ndo kuna soko kuu dar es salaam na tanzania kwa ujumla. K/koo ndo centre ya biashara kwa Tanzania. Na umarufu wote wa k/koo lakini mtaa wa k/koo unao anzia kwenye makao makuu ya ccm Tanzania karibu kabisa na sehemu ilipo zaliwa Tanu pale Lumumba na kutokezea barabara ya msimbazi. Huu mtaa wa k/koo hauna lami wala kokoto, ni barabara ya vumbi iliyo jaa mashimo na uchafu wa kila aina. je walijua hilo?. Mia
umepatia mkuu. miaHuyu atakuwa ni Mkurya....
mkuu mimi sikusoma kiswahili kabisa. mi nimekaa falklands sana. so najifunza kiswahili. je wapi nmekosea tena?. miaMkuu figaniga somo la kiswahili ulipata alama gani vile? Kuna tofauti kati ya L na R naomba ulifanie kazi hili
asante sana mkuu. mimi R na L zinanipa tabu sana so naomba uwe unanisahihisha kila ninapo kosea. pamoja sana. miaSoki=soko
rami=lami
Rumumba=lumumba
soki=soko
rami=lami
rumumba=lumumba