Najua nakosea, Ila mapenzi yamenizidi nguvu..!!

Najua nakosea, Ila mapenzi yamenizidi nguvu..!!

Niliwahi kutopea kwenye penzi kama wewe kwa mdada alinizidi umri miaka mitano hivi

Ni mzuri aisee ni white ile ya kizungu japo wazazi wake waswahili .

Ana shape matata sana

Ni msafi kupitiliza na anajipenda

Alinipenda sana sana sana maana alikuwa ananichukulia poa kitaa .

Tatizo lilikuwa mke wa MTU tena jamaa ni tycoon hapa mjini lakini makazi yake Mara nyingi ni mji mwingine huko yaan hapa town anakuja mara moja moja tu aisee

Mtoto akataka kuweka vitu wazi akajiachia sana kwangu

Machale yalinicheza kwamba hapa soon danger maana nikaanza kuhisi vitu sivyo vya kawaida mme wake akawa snakuja mfululizo those days wakati haikuwa kawaida nikahisi wahuni washamtonya au Dada kateleza mahali simu imekamatwa

Nikaanza Ku chill kwa mbali na kuanza kumpotezea taratibuu japo roho inaniuma kumkosa yule mtoto mzuri mwenye msambwanda kama wa chorokee d ass hahahah

Kwa kifupi nilifanikiwa kuachana nae japo huwa nakutana nae kitaa tumekuwa tu washkaji tulioshare kitanda (Mara 10 hivi) alikuwa mtamu hasa alinifanya ni sense ili hali uanaume kila alipokojoa teh the the!!

Kaka unaweza kula hapo ila akali iwe active kama antena Ku sense dangers ahead of you maana mke watu ni sumu LA sivyo achana nae

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyu dada nimejaribu nimeshindwa Aisee, kiukweli ni mzuri Sana na huyu mwanaume alichagua sio Siri.
Tatzo anajiachia Sana kwangu na hajali chochote ukimueleza suala la mumewe anakuambia achane naye niachie mimi. Nimejikuta tunanogeshana nashindwa nianzeje kuchomoka
 
Jiandae kufilwa tu. Hamna la ziada na huo uchungu wa kugongewa mke anaopata huyo mzalendo wa 56yrs uombe mungu asije akafikiria kukukata makende tu!

Ila cha kukumbuka tu ni kuwa mkeo atafanyiwa hayo hayo ukiwa unayatazama kwa macho, mungu ana namna za pekee za kutuadabisha hapa hapa duniani! Sikuombe ila kuna siku waweza develop sukari mkeo akaanza kupigwa mashine mbele ya macho yako ukawa huna la kufanya zaidi ya kukaangwa moyo!
 
Kaa nae aachane na mumewe muanze maisha yenu mkuu mpaka mtu anaamua kubeba mimba ya nje mapenzi na mumewe yameshaisha
Mwanamke akishaanza kuchepuka basi mwanaume ye ahesabu tu hana chake.

Hizi cases ziko nyingi tu, hali ni mbaya basi tu.
 
Hahaha achana na mapenzi bwana binti anajuta uko kwa nn aliwahi kuolewa
Hapo sidhani kama anajuta kuwahi kuolewa bali anajuta kuchagua pesa dhidi ya true love. Wanaume wenye pesa huwa ni nadra sana kupata wanawake wanaowapenda kwa dhati. Pesa inakuwa kipaumbele, ukizingatia woa pia huwa wanapofushwa na pesa zao wakijua pesa zao can buy anything.
 
Jiandae kufilwa tu. Hamna la ziada na huo uchungu wa kugongewa mke anaopata huyo mzalendo wa 56yrs uombe mungu asije akafikiria kukukata makende tu!

Ila cha kukumbuka tu ni kuwa mkeo atafanyiwa hayo hayo ukiwa unayatazama kwa macho, mungu ana namna za pekee za kutuadabisha hapa hapa duniani! Sikuombe ila kuna siku waweza develop sukari mkeo akaanza kupigwa mashine mbele ya macho yako ukawa huna la kufanya zaidi ya kukaangwa moyo!
daaaaah
 
Mkuu kama mwanaume lazima ujisimamie kwa kutumia akili zaidi usifate sana emotion za huyo mwanamke.
Penzi lenu hakina future and the worst thing ni kuwa n danger kwako.Kaeni muelekezane ukweli na kama utaiba basi fanyeni kijasusi sana vinginevyo mkijisahau you will.be betting your ass to older man!.
Your love is innocent but guilty! All of you!.
Daaaa kaka maneno yako Yana busara, tatzo huyu mwenzangu haoneshi kujali kabisa hili..,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana Mimi Sina haja la gawio
Nyie papuchi papuchi tumshukuru adam

Mkuu endelea nadhani mume yake amefikisha miaka 56 uzee huo we jilie usubiri kupata gawio la urithi

Ila kumbuka kuna kufanyiwa umafia na vigogo oooh watazibua adi masikio
 
Mkuu kama mwanaume lazima ujisimamie kwa kutumia akili zaidi usifate sana emotion za huyo mwanamke.
Penzi lenu hakina future and the worst thing ni kuwa n danger kwako.Kaeni muelekezane ukweli na kama utaiba basi fanyeni kijasusi sana vinginevyo mkijisahau you will.be betting your ass to older man!.
Your love is innocent but guilty! All of you!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi natamani nimuache kabisa but nashindwa.., yaani Kuna Mambo mengine nashindwa kuyaweka hadharani lakini natafta njia ya kutoka nashindwa
 
Mwenye mke kajitakia matatizo mwenyewe,wewe kula tu,inakuwaje unaoa kabint umekazidi miaka 22?Kama story nikweli basi huyo bint anakupenda sana na anajutia kukukosa kabla,kulakula mzee akivuta oa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye mke kajitakia matatizo mwenyewe,wewe kula tu,inakuwaje unaoa kabint umekazidi miaka 22?Kama story nikweli basi huyo bint anakupenda sana na anajutia kukukosa kabla,kulakula mzee akivuta oa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hi ni serious mkuu japo naiona hatari mbeleni jinsi ya kuchomoka kwenye huu mtego imekuwa ngumu
 
Back
Top Bottom