GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,542
- 108,877
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) nchini Afrika Kusini Busisiwe Mkhwebane ametangaza kuwa Rais wa nchi hiyo, Cyril Ramaphosa amevunja Katiba kwa kulidanganya Bunge kuhusu mchango wa Randi 500,000 sawa na Tsh.75m toka kwa mfanyabiashara Gavin Watson, kusaidia kampeni zake kuingia madarakani.
Halafu An Eagle nauliza kwa nia njema tu hivi ni kwanini karibia 99% ya Marafiki wa Tanzania kuanzia mwaka 2015 hadi sasa wengi Wao huko nchini Kwao wana Makashfa mengi hasa hasa yale ya Kiufisadi? Je nianze Kuamini ule Msemo usemao Ndege Wafananao daima huruka pamoja au?
An Eagle nashauri Siku zingine tuwafanyie Tathmini Marafiki zetu kwani huenda wakawa na matatizo yao mengi na pale wakija Kutembelea Tanzania yetu hii wanajifanya wanatupenda ( wanaonyesha Mahaba nasi ) wakati kumbe ni Wachafu Kiuongozi hivyo pengine kwa Sisi kuendelea Kuwakumbatia hadi Kuwapa Kamusi na Ndege Tausi hadi Ng’ombe basi nasi tutakuwa tunawathibitishia Watanzania kuwa na Sisi tuna hizo tabia mbaya kama Wao / Zao.
Tuwe nao makini.
Chanzo Taarifa: Habari Star tv Tanzania.