Najua huyu Mtu ameshakuwa Rafiki yetu ( Swahiba ) kabisa Je, kutokana na hili linalomsibu Kwao tunajifunza nini?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,428
108,532
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) nchini Afrika Kusini Busisiwe Mkhwebane ametangaza kuwa Rais wa nchi hiyo, Cyril Ramaphosa amevunja Katiba kwa kulidanganya Bunge kuhusu mchango wa Randi 500,000 sawa na Tsh.75m toka kwa mfanyabiashara Gavin Watson, kusaidia kampeni zake kuingia madarakani.

Halafu An Eagle nauliza kwa nia njema tu hivi ni kwanini karibia 99% ya Marafiki wa Tanzania kuanzia mwaka 2015 hadi sasa wengi Wao huko nchini Kwao wana Makashfa mengi hasa hasa yale ya Kiufisadi? Je nianze Kuamini ule Msemo usemao Ndege Wafananao daima huruka pamoja au?

An Eagle nashauri Siku zingine tuwafanyie Tathmini Marafiki zetu kwani huenda wakawa na matatizo yao mengi na pale wakija Kutembelea Tanzania yetu hii wanajifanya wanatupenda ( wanaonyesha Mahaba nasi ) wakati kumbe ni Wachafu Kiuongozi hivyo pengine kwa Sisi kuendelea Kuwakumbatia hadi Kuwapa Kamusi na Ndege Tausi hadi Ng’ombe basi nasi tutakuwa tunawathibitishia Watanzania kuwa na Sisi tuna hizo tabia mbaya kama Wao / Zao.

Tuwe nao makini.

Chanzo Taarifa: Habari Star tv Tanzania.
 
Nakusubiri team ya praise and worship kutoka Lumumba.

Hata Mimi nawasubiri kwa hamu zote ili nao waweze kutoa Michango yao very constructive juu ya hili ili niweze kuamini kuwa sasa Chama kina Thinkers / Think Tanks wa ukweli na Tegemeo kwa Chama chetu Kikongwe, Tawala na Dola.
 
tujifunze kitu hapo, kwa wenzetu hakuna aliye juu ya sheria. Sasa hapa kwetu hata DC tu anajiona yuko juu ya sheria.
 
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) nchini Afrika Kusini Busisiwe Mkhwebane ametangaza kuwa Rais wa nchi hiyo, Cyril Ramaphosa amevunja Katiba kwa kulidanganya Bunge kuhusu mchango wa Randi 500,000 sawa na Tsh.75m toka kwa mfanyabiashara Gavin Watson, kusaidia kampeni zake kuingia madarakani.

Halafu An Eagle nauliza kwa nia njema tu hivi ni kwanini karibia 99% ya Marafiki wa Tanzania kuanzia mwaka 2015 hadi sasa wengi Wao huko nchini Kwao wana Makashfa mengi hasa hasa yale ya Kiufisadi? Je nianze Kuamini ule Msemo usemao Ndege Wafananao daima huruka pamoja au?

An Eagle nashauri Siku zingine tuwafanyie Tathmini Marafiki zetu kwani huenda wakawa na matatizo yao mengi na pale wakija Kutembelea Tanzania yetu hii wanajifanya wanatupenda ( wanaonyesha Mahaba nasi ) wakati kumbe ni Wachafu Kiuongozi hivyo pengine kwa Sisi kuendelea Kuwakumbatia hadi Kuwapa Kamusi na Ndege Tausi hadi Ng’ombe basi nasi tutakuwa tunawathibitishia Watanzania kuwa na Sisi tuna hizo tabia mbaya kama Wao / Zao.

Tuwe nao makini.

Chanzo Taarifa: Habari Star tv Tanzania.
Hizo ni tuhuma tu,haijathibitishwa,mahakama ndio itathibitisha ,sijui kusudio lako ni lipi haswa
 
tujifunze kitu hapo, kwa wenzetu hakuna aliye juu ya sheria. Sasa hapa kwetu hata DC tu anajiona yuko juu ya sheria.
Unaijua south africa au bora unachangia tu?
Wale wanaoua na kujeruhhi waafrika wenzao kwa kisingizio wanachukua kazi zao wanatumia sheria ipi?una lipi la kujifunza huko
Tanzania itaendelea kua nchi bora na ya mfano katika nyanja zote kulinganisha na nchi nyingi sana za kiafrika
 
Kuwa Makini wewe.
2015,Ramaphosa alikuwa hajawa Rais
Public protector Busisiwe Mkhwebane has filed the full record of documents that led to her adverse report against President Cyril Ramaphosa over his ANC election campaign — but it is currently not available to the public.
Last week, Ramaphosa’s lawyers asked deputy judge president Aubrey Ledwaba that parts of that record — which include e-mails and bank statements — be sealed and not made available to the public.
This, they contended, was due to questions over whether this evidence was legally obtained.
Mkhwebane’s office insists her investigation was above board. Her investigation found that Ramaphosa had misled parliament about a R500,000 donation to his campaign for the ANC leadership in 2017 from controversial company Bosasa.
On Monday, Ramaphosa secured an interdict staying the implementation of Mkhwebane’s remedial action against him.
On Wednesday morning, Business Day sought access to the record filed by the public protector, but was informed that it had been filed at Ledwaba’s office, rather than with the court’s chief registrar.
Ledwaba said in a letter on Wednesday that since the issue around the record being made public has not been resolved, the record should be filed in his office and not with the registrar.
He said he would like to have a “judicial management meeting” with the parties’ legal representatives on Thursday morning.
President Cyril Ramaphosa. Picture: REUTERS
Photo : President Cyril Ramaphosa

Source : www.businesslive.co.za
 
Unaijua south africa au bora unachangia tu?
Wale wanaoua na kujeruhhi waafrika wenzao kwa kisingizio wanachukua kazi zao wanatumia sheria ipi?una lipi la kujifunza huko
Tanzania itaendelea kua nchi bora na ya mfano katika nyanja zote kulinganisha na nchi nyingi sana za kiafrika
wewe hayo unasimuliwa, mimi nimeishi SA, yes kuna xenophobia baadhi ya miji lakini ule ni uhalifu kama uhalifu mwingine na wahusika wanafikishwa mbele ya sheria, hence nobody is above the law in SA, can you say the same for Tz??
 
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) nchini Afrika Kusini Busisiwe Mkhwebane ametangaza kuwa Rais wa nchi hiyo, Cyril Ramaphosa amevunja Katiba kwa kulidanganya Bunge kuhusu mchango wa Randi 500,000 sawa na Tsh.75m toka kwa mfanyabiashara Gavin Watson, kusaidia kampeni zake kuingia madarakani.

Halafu An Eagle nauliza kwa nia njema tu hivi ni kwanini karibia 99% ya Marafiki wa Tanzania kuanzia mwaka 2015 hadi sasa wengi Wao huko nchini Kwao wana Makashfa mengi hasa hasa yale ya Kiufisadi? Je nianze Kuamini ule Msemo usemao Ndege Wafananao daima huruka pamoja au?

An Eagle nashauri Siku zingine tuwafanyie Tathmini Marafiki zetu kwani huenda wakawa na matatizo yao mengi na pale wakija Kutembelea Tanzania yetu hii wanajifanya wanatupenda ( wanaonyesha Mahaba nasi ) wakati kumbe ni Wachafu Kiuongozi hivyo pengine kwa Sisi kuendelea Kuwakumbatia hadi Kuwapa Kamusi na Ndege Tausi hadi Ng’ombe basi nasi tutakuwa tunawathibitishia Watanzania kuwa na Sisi tuna hizo tabia mbaya kama Wao / Zao.

Tuwe nao makini.

Chanzo Taarifa: Habari Star tv Tanzania.
The good thing about South Africa ni kwamba wao wanaheshimu dhana ya rule of law na good governance; no one is above the law, na kama mtu ni fisadi au mla rushwa au mwizi unamwambia waziwazi bila kufungwa mdomo au kuhofia wasiojulikana, tofauti na katika jamhuri ya Zamunda!
 
wewe hayo unasimuliwa, mimi nimeishi SA, yes kuna xenophobia baadhi ya miji lakini ule ni uhalifu kama uhalifu mwingine na wahusika wanafikishwa mbele ya sheria, hence nobody is above the law in SA, can you say the same for Tz??
Acha urongo,weka link ya waliofikishwa mahakamani na hukumu zao
Huko ni pango la wauza unga,huyo Dpp hajui?
Bado Tanzania ni nchi bora kulinganisha na huko.Johannesburg kila dakika moja anauwawa mtu.Simu zinaporwa kwa bastola acha kuleta uongo kadanganye wasiosafiri
 
Gentamycine sijui ndo inaandikwa hivo au nimekosea....
Kama kawaida yako mzee baba
 
Kumpata rafiki asiye na tatizo lolote ni sawa na kupata bikira ndani ya wodi ya wazazi.

Yale Yale ya Marekani kutaka kuzichagulia nchi nyingine marafiki na maadui.
 
Back
Top Bottom