Kutosamehe ndio sababu kubwa ya kuvunjika kwa ndoa nyingi katika dunia ya leo,kwa nini ushindwe kusamehe na kusahau?Usijifikirie wewe peke yako kuwa amekuudhi,hebu fikiria watoto na familia mliyojenga,je hao wote wanastahili adhabu kwa sababu tu wewe huwezi kusamehe?Kikubwa ni kutafuta sababu ni nini hasa kimemfanya mwenzi wako akacheat na ikipatikana itafutiwe tiba na sio kukimbilia hasira na kutosamehe.Wakati mwingine inawezekana kuwa wewe ambaye hutaki kusamehe ndio chanzo cha hayo yote,na wakati mwingine unamtuhumu mtu kwa kumhisi wakati yeye wala hana mambo hayo.Guys lets think twice on this before taking any judgement and lets watch ourselves and think,kama wazazi wetu wangekuwa wepesi wa kufanya mambo kama tunayoyafanya sisi leo hii, sisi tungekuwa wapi?