Habari zenu Wakuu, Always mi husema black is beauty na huwa najivunia being black nashangaa sana madada zetu na baadhi ya Makaka wasio jielewa wanavyohangaika kubadili rangi za miili yao nakuwa weupi!!
sio kbsKutembea na Wazungu ni kitu cha kujivunia?
Is this a lack of ambition or are you high on something?
Kuolewa na mzungu ni ajira?
Kumbe je? Ulikuwa HUJUI? Waulize wake za wazungu bongo wanavokula BATA hawalimi wala hawavuni, wana SHOP TU! Na kuzaa maybe!
Habari zenu Wakuu, Always mi husema black is beauty na huwa najivunia being black nashangaa sana madada zetu na baadhi ya Makaka wasio jielewa wanavyohangaika kubadili rangi za miili yao nakuwa weupi!!
Wazungu wakija Tanzania ama Africa hupenda kutoka/kutembea real black people! do u knw y!!
Kwanza kabisa tunajoto halisi na la kipekee tofauti na wao ni wabaridi!!
Nyingine mtamalizia wenyewe wale wenye weusi uhalisia just lyk me tunaojikubali na kupenda rangi zetu.
Fungukeni nakukemea wale wasiojielewa na nakutojua thamani ya rangi halisi tulizopewa na Muumba!!!
HIVI KWELI WAZUNGU WA BARIDI?????????? Nasikia sikia hii makitu mara nyingi. Muke ya Mzungu embu nipe hii stori kwa kina. Anakuwa wa baridi HOW? Au janja tu ya Wa Africa kutaka wazungu soko lao lipngue.?