Najivunia kuwahi kuongea na Jenerali Warden

Najivunia kuwahi kuongea na Jenerali Warden

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,014
Reaction score
6,834
Meja Jenerali John Walden a.k.a Black Mamba, mwanajeshi wa JWTZ, kiongozi wa Brigedi 207. Aliongoza mapambano ya Masaka na yale ya kuchukua makazi ya Idd Amin katika vita vya Kagera. Alizaliwa Tunduru 1939 kwa baba Muingereza na mama Mtanganyika. Alifariki na kuzikwa Mbeya 2002.
upload_2018-5-16_9-25-2.png

SOURCE: TWITTER
 
Hongera nyingi Mkuu..
Huyo Mwanaume alikuwa hatari sana katika harakati za kummaliza Nduli Idd Amin.
 
Wasingembania alikuwa na mpango wa kuanzisha scout ambayo yeye ndo angekuwa muasisi wake na Mimi ningekuwa mmoja wa hao scout...nammis sana JB
 
Huyu ni mmoja wakuu wa jeshi katika vita vya Kagera nil I of appreciate na mfano bora. Wengine ni Mayunga, Mboma. Mboma namna alivyokuwa anasanifu ndege za kivita za jeshi, nilimwona uwanja wa ndege Zanzibar akizisanifu ndege angani. Kubwa kuliko yote huko Uganda alipotekwa na ndege za jeshi za Uganda alivyowatoka nduki kwa kujiamini!
 
Achana na makamanda wa shambulio la aibu..
Hawa ndio makamanda wenyewe
 
Pia mzee Hans Pope mfia nchi aliyeuawa vitani, alikuwa polosi, achana na wanawe walikuwa jeshini kwa kuhaini nchi.
 
You are not serious Bro!‍♂️‍♂️‍♂️
[emoji848] [emoji848] [emoji848] Moja kati ya vitu ambavyo kila mwanadamu hupenda ni pale anapopata nafasi ya kushiriki japo maongezi na mtu ambaye anatamani siku moja aongee nae.

Unajua Kingwendu kwa upande wangu ana ushawishi gani?

Ulitaka niongee na nani moyo wako ufurahie na uone niko serious?

Sio kila unaemnyenyekea wewe na mimi nitamnyenyekea.
 
Huyu ni mmoja wakuu wa jeshi katika vita vya Kagera nil I of appreciate na mfano bora. Wengine ni Mayunga, Mboma. Mboma namna alivyokuwa anasanifu ndege za kivita za jeshi, nilimwona uwanja wa ndege Zanzibar akizisanifu ndege angani. Kubwa kuliko yote huko Uganda alipotekwa na ndege za jeshi za Uganda alivyowatoka nduki kwa kujiamini!


Hakuwahi kutekwa popote vitani, Marehemu Maj. Gen. John Walden hakuwa mtu mwoga wa kumkimbia adui. Pitia vizuri historia za Mashujaa wetu.
 
Sio kila unaemnyenyekea wewe na mimi nitamnyenyekea.[/QUOTE]
Usije ukamnyenyekea binadamu mwenzio unatakiwa kumheshimu, ila kama we huwa unawanyenyekea ni vyema endelea na tabia hiyo mkuu!
 
Ukitoka Mbalizi(Mbeya) unapopita Iwambi utasikia msaada kwa J.B Warden nahisi pale ndo kwake kabla hujafika Ituta....
 
Huyo kama asingekua na damu ya kikoloni angekua CDF kipindi cha Mwinyi.Rest in Peace Soldier.
 
Back
Top Bottom