Najivunia kuwa brazamen

hao jamaa wapo kama Ben kinyaia.
 
Napenda sana kuvaa vitu vikali na vizuri sema mazingira yananibana ila kwa hakika ubora wa bidhaa ndio kitu cha kipaumbele kikubwa sana kwangu aisee
 
πŸ™ŒπŸ˜‚
 
Wakati napiga mishe zangu kwa boss Fulani nilikuwa natupia vitu hadi boss akakasirika imagine nikavaa shati January siku moja nalirudia tena March, wakati boss anakomaa na shati moja siku 5 mfulilizo
 
Napenda sana kuvaa vitu vikali na vizuri sema mazingira yananibana ila kwa hakika ubora wa bidhaa ndio kitu cha kipaumbele kikubwa sana kwangu aisee
Pamoja mkuu, hivi vitu ni damu unazaliwa nayo kuna watu awajabarikiwa kujua ukali. Pambana mzee utupie unyama kama wote.
 
Huku mikoani ukija na huo ubrazameni wako utaliwa ndogo tuu
Sidhani kama kuna mkoa sijafika nchi hii, nimezunguka kila kona. Last week nilikuwa Newala Mtwara huko nilikuwa nna project na WB wanafanya baseline ya mradi wao wa elimu.
Watu wa mikoani ni watu poa sana kila napokutana nao ni story kubadilishana mawazo na kupeana maarifa mbalimbali ya kimaisha. Nawakubali sana wshikaji wa mikoani wapo fresh sana sio vizuri kuwatumia kunitusi. Unaweza tafuta namna nyingine ya kupunguza stress zako mkuu.
 
Wakati napiga mishe zangu kwa boss Fulani nilikuwa natupia vitu hadi boss akakasirika imagine nikavaa shati January siku moja nalirudia tena March, wakati boss anakomaa na shati moja siku 5 mfulilizo
Safi sana mzee baba ndio inavyotakiwa mpaka boss anajisikia inferior akikuona. Usafi na kuwa classic wengi wanapenda ila wanakosa maujanja na ndio chuki inaanzia hapo.
 
Kwahyo Ngolo Kante wa Chelsea yule hali matunda, hanywi maji ndo maana hana nuru? Elezea ukweli mkuu wa kuwa na nuru lakini sio hayo maneno
Kuwa na nuru nikuwa na muonekano wenye afya sio kuwa na sura nzuri. Unaweza usiwe handsome ila ukawa na nuru na ukatazamika.
 
Safi sana mzee baba ndio inavyotakiwa mpaka boss anajisikia inferior akikuona. Usafi na kuwa classic wengi wanapenda ila wanakosa maujanja na ndio chuki inaanzia hapo.

Safi sana mkuu...

Perfumes unazotumia zinauzwa Dsm?

Kama vipi naomba unitajie maduka na bei nizitafute maana napenda sana perfumes kali
 
Safi sana mkuu...

Perfumes unazotumia zinauzwa Dsm?

Kama vipi naomba unitajie maduka na bei nizitafute maana napenda sana perfumes kali
Dsm yapo maduka mengi tu ya perfume.. Nenda JD pharmacy mlimani city au citymall mle karibu na DIT kuna duka ghorofa ya pili lina perfume nzuri bei zinaanzia laki kwenda mbele inategemea na budget yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…