Brazamen na tozi wote walewale.Navaa pamba kali na najua haswa kuvaa vitu vikali.
Napenda usafi wa mwili wangu mpaka mazingira yanayonizunguka.
Nnanukia perfume nzuri Gucci, Creed au Uomo.
Napenda kutumia vitu vyenye quality na standards za juu. Najali sana viwango kwenye kila kitu changu.
Kibongobongo wananiita brazameni na silichukii ilo jina.
Ubrazameni ni damu unazaliwa nao, wengi wanapenda swaga za kibrazameni ila ndio hivyo wanajikuta hawawezi sababu uwezi jifunza kuwa brazameni utachemsha tu.
Wenye hasira na sisi wanaishia kutuita majina mabaya kutuchafulia CVs. Wanatuita wauza sura, wanaume wa dar, wapaka poda na kutuchafua kwa mademu eti hatuna pesa lakini cha ajabu mademu awaambiwi awasikii kwetu wanatukubali ile mbaya.
Siwezi enda kwenda board room kufanya presentation ya mradi wangu uku nanuka kijasho cha saa saba eti ndio uanaume lazima nichukuliwe poa, lazima nijali muonekano wangu uniuze na kuepuka harufu za kibinadamu.
Navinjali sehemu zenye watu classic ata kama inanigharimu lakini napata connection zenye akili. Bia ya Maison ni gharama ila inanilipa kuliko bia ya buku mbili ya La Chaz.
Najivunia kuwa brazameni na kwa mabrazameni wenzangu msijisikie vibaya kuitwa mabrazameni.
Kaka kioo nakitumia wakati navaa na kujiweka sawa, baada ya hapo ni kazi tu mie nafanya sana kazi kazi ndio inanipa heshima na materials ya kuwa classic.wanaume wa dar, kutwa kushinda kwenye vioo
hata mimi pia ni brazamen hata mungu anajua.[emoji23][emoji23]weka picha braza
#thread za dizain hiii zinahitajigi supporting documents
Sipaki poda, nakula matunda maji kwa wingi na mazoezi ndio vinanifanya nakuwa na nuru.Kwa hiyo mkuu unapaka powder?
We si mgumu unasemagahata mimi pia ni brazamen hata mungu anajua.[emoji23][emoji23]
Ooh sawa, kama ni hivyo hakuna dhambi yoyote mwanaume kujipenda mkuuSipaki poda, nakula matunda maji kwa wingi na mazoezi ndio vinanifanya nakuwa na nuru.
je unatoa ndogo?[emoji41]Sipaki poda, nakula matunda maji kwa wingi na mazoezi ndio vinanifanya nakuwa na nuru.
Mavazi ya kucopy sio OGMidosho ni nini?
Rafiki bila shaka unachukuliwa na brazamenOoh sawa, kama ni hivyo hakuna dhambi yoyote mwanaume kujipenda mkuu
Ohoo sawaMavazi ya kucopy sio OG
HapanaRafiki bila shaka unachukuliwa na brazamen
Mdosho ni nini?Bora nitembee mtupu mzazi kuliko kuvaa mdosho
[emoji23][emoji23] kumbe watu waga mnatunza tu maneno yangu.We si mgumu unasemaga
Hahhaha we naweza kukubali.....kitu cha crazy ninihata mimi pia ni brazamen hata mungu anajua.[emoji23][emoji23]
Bible GiLeSi mtikisiko hajambo?
Tako limepungua?
Tako limeongezeka Mara dufu, amekodi torori na msukumaji wake, wanalipakia tako tororini